SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je, ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?
We mbona muongo sana au niseme mshamba eti feza primary [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ?!
Feza primary iko kawe pembeni ya NIDA hiyo shule unayosema ni DIS DARESLAAM INTERNATIONAL SCHOOL na mkewe kambona aliikodisha hilo eneo kwa mkataba wa miaka zaidi ya 30 kama sikosei baadae akingia mgogoro na huyo mama wa kizungu na yule mama akshinda kesi so kaendelea kupanga pale ila amebakisha kama miaka 10 hivi muda wake uishe na kashajenga shule nyingine mbweni muda tu wanafunzi wemgine wa high school wako huko..
CASE CLOSED