Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

Nyerere alikuwa dikteta uchwara, hoja zake zote alizompinga nazo kambona zilikuja 'kuprove failure',kambona alikuwa anaona mbali kutokana na exposure na elimu, Nyerere alikuwa amemezwa na wachina,akaishia kufeli kwnye kila kitu,azamio la Arusha lilifeli,vijiji vya ujamaa vilifeli, ujamaa wenyewe ulifeli aliachia nchi kwa aibu watu wakiwa hawana chakula Wala mavazi!!
Hakufeli kwa kila kitu, acha kupotoasha. Tazara railway, viwanda vya nguo kila mkoa, hospital kila wilaya,free education for all, n.k mwacheni mwl. Apumzike he didn't commit anything wrong purposely!
 
Yule mzee sasa ndio watu wanajua alikuwa miyeyusho tu. Na ndio katurudisha sana nyuma.
Nyerere kafa lini? Alipojiuzulu lini? Mbona hamkuendelea na ni muda mrefu tangu aondoke? Nchi za jirani kama Kongo na Kenya zilizofuata siasa za Kambona zina hali gani? Badala ya kuona kuwa uvivu na uzembe na ufisadi wetu ndiyo umekutudisha nyuma, endelea kulaumu Nyerere.
 
Ukiangalia taarifa zake mtandaoni wanasema alikimbia kwenda London mwaka 1967 na mke na watoto wake wawili
Mmoja wa kiume alipigwa risasi na watu wasio julikana, serikali ya UK! haikuchukua hatua zozote!! lkn ilisadikika kijana alikuwa anamuonea wivu Mama yake! hakupenda tabia ya Mama yake kumsaliti Baba yake!

wahusika wa ile issue wakammaliza kijana! faster!
 
Kambona akaitwa msaliti, mwizi na malaya
Kisha hanga akaambiwa ni mpumbavu
ndo ilivyo mpaka leo! malaya wa kisiasa! malaya ni nini...siyo sex tu usipokuwa na msiimamo kutamani kitu cha mtu kwa malipo ya juu! bila kumpenda!..Msaliti..ni kweli si aliyageuka makubaliano yao ya awali ya A/arusha??

Mwizi aliiba hazina hela lukuki!! umesahau mengine yake ni
Mnafiki,
muoga,
muongo!
Limbukeni,
Mbumbu,
Mshamba,
zuzu,
Mtamaa,
asiyejali utu,
Muuaji, na katili asiye huruma, alitamani kumuua Nyerere bila kosa la msingi, kwa kuwa tu, eti nyerere anapendwa na ana akili sana kumzidi yeye! wivu wa kike tuu!nk yaani!
 
Kwa msiolijua, Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mjomba wake Oscar Kambona na ndiye aliyesimamia harusi yake Kambona, wote asili yao Wanyasa. Enzi hizo miaka ya sitini kila mwanaume na mwanamke alipenda afanane muonekano wa Oscar Kambona, the guy was extremely smart.
Sio kweli hili tango pori...Kambona alikua mnyasa na Kawawa ntu ya kusini huko...wapi na wapi???
 
Siyo nyie mnao lilia tozo nyie?? ajira hakuna?? mboni hamueleweki ndo maana shetani aliwapiga kiberiti ivivivi
Tatizo la ukosefu wa ajira linasolvika shida hatuna viongozi wanaofikiri
 
Mzee wa butiama alikuwa chenga na wananchi kipindi walikuwa chenga
Mbona watanzania wa sasa ndio chenga zaidi wamekazania kujadili ngono tu huku ma tozo kibao yanaletwa!!! kuna kipi cha ajabu wamekifanya?? Si bora hata hao wa zamani waliweza kutaka kuleta hata machafuko kuliko hawa dot.com wapumbavu kabisa na akili hawana kutwa kujadili upuuzi jamiiforum wakati matendo ni zero.
 
Kama alikuwa kwenye utawala tangu miaka ya 60,harafu leo kizazi chske kinaishi maisha Duni,yeye ndio wakulaumiwa,
 
Kambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana.

Wakati Nyerere aliamini katika Ujamaa, hakuwa na tamaa ya pesa na mpaka anastaafu hakuwa na hekalu alilojimilisha.
Kama mzalendo magufuli.
 
Back
Top Bottom