Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sijui mke na watoto wako wapi. Lakini nyumba ni yao na wameamua kuigeuza kuwa shule.Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je, ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?
Mrs. Kambona alikabidhiwa Ile nyumba,akawa analalamika vociferously,"Tazama nyumba yangu walivyoibadilisha kuwa gofu."