Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kambona aliasi Nini !??? Hivi Hawa waliogeuka wote na walikuwa na Magufuli SI ndio waasi !!?? Kambona alisema mwenendo wa nchi Kwa sera za kijamaaa tutachelewa maendeleo hana uasi wowote zaidi ya kusema ukweli wake .Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je, ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?