muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Nakumbuka miaka ya nyuma, mkewe Kambona alifuatilia sana hiyo nyumba ili irudishwe kwa familia, sina hakika kama walifanikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣aliyesimamia harusi ya Kambona ni Nyerere huko Uingereza na harusi yao ilikuwa kubwa kiasi ambacho wazungu hawakuamini ni mtu mweusi ndio anafanya ile harusi mpaka ikaripotiwa kwenyw vyombo vya habari (mostly magazeti)Kwa msiolijua, Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mjomba wake Oscar Kambona na ndiye aliyesimamia harusi yake Kambona, wote asili yao wanyasa. Enzi hizo miaka ya sitini kila mwanaume na mwanamke alipenda afanane muonekano wa Oscar Kambona, the guy was extremely smart.
Omba mkuuKwani Askari Magereza wanapata Laki tano?? Nilitaka kuomba Kazi hii
Wewe unasema "LABDA" na "PROBABLY" mimi ninasema ni mtoto wake.Huyo labda atakuwa mtoto wa mdogo ake kambona. Kambona alikimbia nchi na familia yake tena probably watoto wengine alizalia ulaya
Duu tunabishania mtoto wa mtu mwingine? Ushindi kwako n'jombaWewe unasema "LABDA" na "PROBABLY" mimi ninasema ni mtoto wake.
Kumbe ulikuwa kwenye mashindano.. HongeraDuu tunabishania mtoto wa mtu mwingine? Ushindi kwako n'jomba
Huyo ni mbabu, anajua anachokisema.Muongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣aliyesimamia harusi ya Kambona ni Nyerere huko Uingereza na harusi yao ilikuwa kubwa kiasi ambacho wazungu hawakuamini ni mtu mweusi ndio anafanya ile harusi mpaka ikaripotiwa kwenyw vyombo vya habari (mostly magazeti)
HahahahaTakbiiir
Huo mshahara wanapaswa kulipwa watoto wa nani?Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Nyerere ndio yupi hapo?Muongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aliyesimamia harusi ya Kambona ni Nyerere huko Uingereza na harusi yao ilikuwa kubwa kiasi ambacho wazungu hawakuamini ni mtu mweusi ndio anafanya ile harusi mpaka ikaripotiwa kwenyw vyombo vya habari (mostly magazeti)
Malaya kwa tafsiri ya kiswahili sanifu ni mtu aliyekosa msimamo, kwa sasa inaweza kuwa ni lugha kali sana kutumia kumuita mtu, but back in days nadhani kiswahili kilikua hakijaingia maneno na misemo mingi.
Si vyema kumuita hivyo, fuatilia wenzake wengi waliojizipatia nchi zao uhuru hio miaka ya 60's, sidhani kama ulikuwa umezaliwa.Nyerere alikuwa dikteta uchwara,hojs zake zote alizompinga nazo kambona zilikuja 'kuprove failure',kambona alikuwa anaona mbali kutokana na exposure na elimu,nyerere alikuwa amemezwa na wachina,akaishia kufeli kwnye kila kitu,azamio la Arusha lilifeli,vijiji vya ujamaa vilifeli,ujamaa wenyeww ulifeli aliachia nchi kwa aibu watu wakiwa hawana chakula Wala mavazi!!
Kambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana
Wakati Nyerere aliamini katika Ujamaa, hakuwa na tamaa ya pesa na mpaka anastaafu hakuwa na hekalu alilojimilisha.
Kambona baba yake alikua Mwalimu na shule ya msingi alisomea nyumbani, formal education aliianza darasa la nne. Ninadhani he was well polished.Nadhani kikubwa ilikuwa ni utofauti wa ideologies (ujamaa vs ubepari) lakini pia battle of supremacy (Nani zaidi)
ukifuatilia Historia, Nyerere na kambona wote walikuwa wasomi, wenye akili pia umaarufu na ushawishi mkubwa wa kisiasa, japo kambona alikuwa kama ndio sweetheart kutokana na muonekano na haiba yake. Of course hata kama mimi ndio mzee baba lazma kuna kakitu flani lazma katanikaba koo maana nataka kuwa centre of attention, kama ilivyokuja kuwa baada ya kambona na wenzake kutolewa nje ya picha.
Ukifuatilia ishu ya Nyerere kupinduliwa ni kambona aliyechukua nafasi kubwa katika kuituliza hali, Hii tu inakuonesha ushawishi na nguvu kambona aliyokuwa nayo
Hiyo ilimfanya kuwa threat naturally kwenye kiti cha enzi, na kupingana na Nyerere kuhusu ujamaa lazma ingeongeza tension baina yao.
What hapenned was meant to happen regardless of what so called "Reasons"
Feza ni shule binafsi, nyumba ni mali binafsi sasa unaulizia mambo binafsi ambayo watu wamekubaliana wenyewe sisi tutajuaje?
BTW wanaweza kuwa na Mali nyingi wakaamua kuipangisha Ile nyumba sababu inakaa bure tu, pia kuipangisha Feza schools wanapata pesa nyingi sana imagine Ada ya mtoto sio chini ya milioni saba sasa unadhani Kodi ni kiasi gani ?
Kambona baba yake alikua Mwalimu na shule ya msingi alisomea nyumbani, formal education aliianza darasa la nne. Ninadhani he was well polished.
Jee, unamaanisha mshahara wake uendane na hadhi yake ya kuwa mtoto wa Kambona na si kulingana na kazi anayofanya na CV yake? Namfahamu mtoto wa Nyerere, Anna, anabangaiza tu. Pia nilisoma na Rehema, mtoto wa Kawawa. Naye ni mtu wa kawaida tu kama mimi. Sasa huyo mtoto wa Kambona apewe mshahara tofauti na wengine kwa kuwa tu baba yake ni Kambona?Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Nikuulize wewe maana mimi picha niliyokuwa nayo mimi Nyerere yupo na vyanzo vyote duniani vinaandika kwamba nyerere ndiye aliyekuwa best man waoNyerere ndio yupi hapo?View attachment 2069734