Uko sahihi kbs mkuu.
Nyerere aliipitisha nchi ktk giza nene, watu walikoswa mahitaji yote ya mhimu, watu walifungiwa sawasawa, wafanyabiashara walipita kwenye tanuru hasa, wafanyakazi walilipwa mishahara midogo isiyoendana na uhitaji, na haikuruhusiwa kujihusisha na chochote chenye kukuingizia kipato nje na ajira, ukifanya maendeleo yoyote unahojiwa umetoa wapi, ukizungumzia siasa tu umekwenda!
Haukua udikteta uchwara bali udikteta kamili.
Ni wengi walikimbia nchi sbb ya uonevu uliokuwepo kipindi chake.
Mawazo yake yalikua sahihi daima na hakuhitaji mawazo mbadala, na tatizo historia zetu hazielezei ukweli wowote bali uongo karibu kila sehemu.