kwa kipindi kile kambona hakuwa shh, nchi ilikuwa bado haina wataalam ,unaambiwa baada ya Uhuru nchi nzima ma profesa walikuwa hawazidi 10,Sasa niambie kwa picha hiyo unadhani Nini kingetokea endapo wangeruhusu wazungu kuchukua deals mbali mbali za uchumi, haya madini mnayojisifia yasingekuwepo!! mwal. akitaka kwanza wasimamizi wa raslimali waongezeke Tena si tu kuongezeka kwa idadi ya watu ,bali wataalam na wasomi waongezeke,hawa ndo wangesaidia kusimamia raslimali za nchi. ikiwa Kama hivi leo miaka ya 2022 tunapigwa na tunao wasomi kibao,je Kama hii habari ingeanza miaka ya 60's ingekuwaje!!??