Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?


We mbona muongo sana au niseme mshamba eti feza primary [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ?!
Feza primary iko kawe pembeni ya NIDA hiyo shule unayosema ni DIS DARESLAAM INTERNATIONAL SCHOOL na mkewe kambona aliikodisha hilo eneo kwa mkataba wa miaka zaidi ya 30 kama sikosei baadae akingia mgogoro na huyo mama wa kizungu na yule mama akshinda kesi so kaendelea kupanga pale ila amebakisha kama miaka 10 hivi muda wake uishe na kashajenga shule nyingine mbweni muda tu wanafunzi wemgine wa high school wako huko..
CASE CLOSED
 
Alivyokufa Kambona amezikwa makaburi ya Kinondoni. Hakuna kiongozi wa CCM au wa Serikali aliyehudhuria. Pale nilimuona Augustino Mrema tu,na sijui kama wakati huo alikuwa mpinzani (NCCR). Nadhani alikuwa bado CCM.
 
Hiyo sahivi ni feza nursery mzee

Iko mikocheni

Shule ya feza ndipo ilipoanziaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…