johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwamba awape ubalozi?Uwezo wa kuzifuta alikuwa nao na hata kupiga chini wengine hakukuwa na ulazima aende nao safari
Tafadhali rekebisha kichwa cha mada isomeke Onesha na sio onyesha.Wanabodi,
Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama
Nyumba Yetu Inazidi Kelele, Jee Tumshinikize Mama Aonyeshe Uwepo Wake, navUwezo Wake Kuwatuliza hawa watoto wake wasio na adabu, wanaparurana mchana kweupe na Mama yupo anawaangalia tuu?!. Mama Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe.
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu kwa maslahi ya Taifa.
Angalizo
JF ilipoanzishwa ilitarajiwa iwe ni home for the great thinkers, na great minds to discuss ideas.
Ila ikajikuta kwenye society kuna simple minds ambao ndio wengi, wata discuss people, kuna ordinary minds wata discuss events, na kuna great minds ambao ni wachache, hawa wata discuss ideas.
Hili ni bandiko kwa ajili ya great minds, hatujadili watu, wala matukio, tunajadili ideas, hivyo hakuna jina la mtu yoyote litatajwa humu, nakuomba na wewe usitaje jina la mtu yoyote.
Japo mimi sio great thinker, lakini naweza kuandika na kufikisha ujumbe maalum kwa hao great thinkers. Kwenye bandiko hili nimesema Marrionates tuu bila kuwataja, wala pale wapi au drama King.
Kuna nyumba baba na mama ni wakali, sasa siku ukisikia watoto wanapiga makelele huku wanatukanana, then ujue wazazi wamesafiri, watoto wamebaki na house girl, hivyo wanamdharau!, wanapiga makelele kama nyumba haina wazazi.
Dunia nzima sasa iko kwenye vita vya Corona, mpaka ugonjwa wa Corona, bado hauna kinga, wala tiba, kama ulivyo ugonjwa wa ukimwi, ila ukigundulika mapema kuwa umepata maambukizi virusi vya ukimwi, na kabla hujaanza kuathirika, ukitumia vidonge vya ARV, uta fubaza virusi hivyo, hivyo kuvizuia visikuathiri, na ukizingatia masharti, utaendelea kuishi kwa muda mrefu.
Tangu mtu anapoambukizwa virusi vya ukimwi, kwanza unachukua muda mrefu kugundua, na kuna wengine wao ni ma carriers tuu wa virusi hivi wakivibeba kwenye miili yao, na kuwasambazia wengine lakini wao hawaathiriki. Tangu virus hivyo vya HIV kukuingia hadi kupata ukimwi, sometimes takes ages. Na hata ukiwa na ukimwi, na ukaanza kuugua, sometimes you take ages hadi kufa.
Virusi vya ukimwi vinashambulia mfumo wa kinga mwilini, hivyo kufa ni taratibu, lakini virusi vya Corona, vinashambulia mfumo wa upumuaji, usipo wahiwa hospitali, kifo ni fasta!. Mtu mlikuwa nae jana tuu mkila na kucheka nae, kesho yake unaambiwa kafa!. Lazima utashituka na kupingwa butwaa, bumbu wazi.
Kinga pekee ya uhakika ya ukimwi ni kuzuia ukimwi usikupate, na kinga pekee ya uhakika ya Corona ni kuzuia Corona isikupate.
Katika kukabiliana na janga la Corona, sasa kumepatikana chanjo ya Corona, hii chanjo sio tiba na sio kinga ya asilimia 100% kwa 100% kama chanjo ya ndui, polio na pepopunda ambazo zinachomwa kwa watoto wote dunia nzima. Chanjo ya Corona ni kujikinga wewe ili hata ikitokea ukapata maambukizi ya virusi vya Corona, hiyo chanjo mwilini mwako itakusaidia kwa chanjo hiyo kuuwezesha mwili wako kutengeneza kinga ya kivikabili virusi hivyo.
Hivyo Corona ni vita na mapambano ya vita hii yanaongozwa na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yetu, huku akisaidiwa kisiasa na viongozi wakuu wote, lakini kiutendaji na utekelezaji akisaidiwa na makamanda wawili fulani, Waziri na Naibu Waziri.
Kwa vile vita hii alipoingia, Taifa lilikuwa chini ya CinC mwingine ambaye hakuamini kwenye chanzo. Wale makamanda wasaidizi wawili, waliunga mkono msimamo wa Amiri jeshi wa wakati huo na kuwaaminisha Watanzania, jinsi chanjo hazifai na kuzibeza kwa sauti kubwa tena hadi kuongoza kwa mifano jinsi ya kupiga nyungu kwa mtindo wa ku dramatize.
Sasa tuna CinC mwingine, anayeamini kwenye chanjo, ilikuwa ni busara ya kawaida tuu, wale wasaidizi wawili walio ibeza chanjo, wangepumzishwa, na kuteuliwa wasaidizi wengine wawili kuitetea chanjo.
Kitendo cha wasaidizi wale wale walio icheza ile ngoma ya mpiga ngoma aliyetangulia na waliowaaminisha Watanzania kuwa chanjo hazufai, sasa baada ya kuingia kwa mpiga ngoma mpya, amebadili beat na tune, halafu wacheza ngoma ni wale wale, dancing to the new tune and new beat with dramatising kuwa chanjo ni nzuri, haijakaa poa!.
Ndio maana ninashauri ili kuimalizia all this bickering going on kuhusu chanjo ya Corona, kwanza hawa marrionates wote wawili pale mahali, despite the fact, they are very good dances, ambao wanadance well with every changing beats, wapumzishwe. Kuna vitu unaweza kutumia dramas na comedy kuhamasisha, waachiwe dramatist na comedians, and not politicians. Kitendo cha comedians cum politicians wa marrionates type who can dance every beats and changes with every tune, kuiifanya hii chanjo kuonekana kama ni drama fulani au ni comedy fulani. Chanjo ya Corona ni something very serious na kinahitaji some very serious people kumsaidia CinC kuhamasisha watu wachanje sio hao comedians wote wawili hapo, Mama kwanza onyesha uwezo kuwa you are very serious and no nonsense lady kwa kuwaweka pembeni, choose some serious people, hawa comedians aliwarithi achana nao, watakuaibisha!.
Na mwisho ni yule drama king aliyepewa kichwa na naniliu, sasa masikio yamezidi kichwa, analeta zile dharura za Kisukuma kudharau wanawake, ameonyesha dharau kubwa kwako na kwa mteule wako!. Amefikia kulitukana, na kulidhalilisha kabila lote zima kisa tuu tumetofautiana na shemeji yake. Huyo ni attention seeker, kadri anavyo shughulikiwa ndio kwanza mnampa umaarufu. Sishauri ashughulikiwe kikamilifu kwa ule mtindo wa kilisulisu, zikimkosa mbili mtu unatoa maelezo!. Dawa ya kuwashughulikia attention seekers ni kuwa ignore, just scrap him ile jeuri ya kubebwa na homeboy wake, reduce him to an ordinary man, abaki kuwahubiria tuu neno la Mungu na sio kuwahutubia Watanzania kila Jumapili akitokea mimbarini kwake, mimbari iwe ni kwa yaliyo ya Kimungu, akifanya ya Kaisari mimbarini kwa yaliyo ya Kimungu, then ni Mungu mwenyewe utamshughulikia kwa kutumia mimbari yake kufanya ya Kaisari.
Jumatatu Njema.
Paskali
Kwingine kote nimekuunga mkono, Ila hapa umejionyesha kwa dhahiri chuki zako jinsi zilivyo kwa huyo mjamaa!Na mwisho ni yule drama king aliyepewa kichwa na naniliu, sasa masikio yamezidi kichwa, analeta zile dharura za Kisukuma kudharau wanawake, ameonyesha dharau kubwa kwako na kwa mteule wako!. Amefikia kulitukana, na kulidhalilisha kabila lote zima kisa tuu tumetofautiana na shemeji yake. Huyo ni attention seeker, kadri anavyo shughulikiwa ndio kwanza mnampa umaarufu.
WakajiajiriKwamba awape ubalozi?
Katiba haisemi hivyo!Wakajiajiri
je tunaweza pata neno la kiswahili mbadala wa hili Marrionates?
Mama anaogopa kufutwa kwenye ulimwengu wa siasa kama alivyofutwa Makonda. Gwajima siyo wa mchezo mchezo ujue.Mama anazidi kulea hiki kiumbe ambakishie jukumu moja tu la kuhubiri neno tu
Nimemkumbuka Joyce WowowoView attachment 1904337
Ni Kama hivyo vinyago vinavyochezeshwa bila kutumia akili wala nguvu yao
Serikali inatakiwa kummaliza huyo taperi kwa risasi nyingi za kichwa, haiwezekani hailetee dharau serikali,Ni wakati Sasa azimwe kabisa, ana chuki binafsi na Rais aliyepo Sasa, na ana ukabila wa Hali ya juu na udini piaWanabodi,
Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama
Nyumba Yetu Inazidi Kelele, Jee Tumshinikize Mama Aonyeshe Uwepo Wake, navUwezo Wake Kuwatuliza hawa watoto wake wasio na adabu, wanaparurana mchana kweupe na Mama yupo anawaangalia tuu?!. Mama Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe.
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu kwa maslahi ya Taifa.
Angalizo
JF ilipoanzishwa ilitarajiwa iwe ni home for the great thinkers, na great minds to discuss ideas.
Ila ikajikuta kwenye society kuna simple minds ambao ndio wengi, wata discuss people, kuna ordinary minds wata discuss events, na kuna great minds ambao ni wachache, hawa wata discuss ideas.
Hili ni bandiko kwa ajili ya great minds, hatujadili watu, wala matukio, tunajadili ideas, hivyo hakuna jina la mtu yoyote litatajwa humu, nakuomba na wewe usitaje jina la mtu yoyote.
Japo mimi sio great thinker, lakini naweza kuandika na kufikisha ujumbe maalum kwa hao great thinkers. Kwenye bandiko hili nimesema Marrionates tuu bila kuwataja, wala pale wapi au drama King.
Kuna nyumba baba na mama ni wakali, sasa siku ukisikia watoto wanapiga makelele huku wanatukanana, then ujue wazazi wamesafiri, watoto wamebaki na house girl, hivyo wanamdharau!, wanapiga makelele kama nyumba haina wazazi.
Dunia nzima sasa iko kwenye vita vya Corona, mpaka ugonjwa wa Corona, bado hauna kinga, wala tiba, kama ulivyo ugonjwa wa ukimwi, ila ukigundulika mapema kuwa umepata maambukizi virusi vya ukimwi, na kabla hujaanza kuathirika, ukitumia vidonge vya ARV, uta fubaza virusi hivyo, hivyo kuvizuia visikuathiri, na ukizingatia masharti, utaendelea kuishi kwa muda mrefu.
Tangu mtu anapoambukizwa virusi vya ukimwi, kwanza unachukua muda mrefu kugundua, na kuna wengine wao ni ma carriers tuu wa virusi hivi wakivibeba kwenye miili yao, na kuwasambazia wengine lakini wao hawaathiriki. Tangu virus hivyo vya HIV kukuingia hadi kupata ukimwi, sometimes takes ages. Na hata ukiwa na ukimwi, na ukaanza kuugua, sometimes you take ages hadi kufa.
Virusi vya ukimwi vinashambulia mfumo wa kinga mwilini, hivyo kufa ni taratibu, lakini virusi vya Corona, vinashambulia mfumo wa upumuaji, usipo wahiwa hospitali, kifo ni fasta!. Mtu mlikuwa nae jana tuu mkila na kucheka nae, kesho yake unaambiwa kafa!. Lazima utashituka na kupingwa butwaa, bumbu wazi.
Kinga pekee ya uhakika ya ukimwi ni kuzuia ukimwi usikupate, na kinga pekee ya uhakika ya Corona ni kuzuia Corona isikupate.
Katika kukabiliana na janga la Corona, sasa kumepatikana chanjo ya Corona, hii chanjo sio tiba na sio kinga ya asilimia 100% kwa 100% kama chanjo ya ndui, polio na pepopunda ambazo zinachomwa kwa watoto wote dunia nzima. Chanjo ya Corona ni kujikinga wewe ili hata ikitokea ukapata maambukizi ya virusi vya Corona, hiyo chanjo mwilini mwako itakusaidia kwa chanjo hiyo kuuwezesha mwili wako kutengeneza kinga ya kivikabili virusi hivyo.
Hivyo Corona ni vita na mapambano ya vita hii yanaongozwa na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yetu, huku akisaidiwa kisiasa na viongozi wakuu wote, lakini kiutendaji na utekelezaji akisaidiwa na makamanda wawili fulani, Waziri na Naibu Waziri.
Kwa vile vita hii alipoingia, Taifa lilikuwa chini ya CinC mwingine ambaye hakuamini kwenye chanzo. Wale makamanda wasaidizi wawili, waliunga mkono msimamo wa Amiri jeshi wa wakati huo na kuwaaminisha Watanzania, jinsi chanjo hazifai na kuzibeza kwa sauti kubwa tena hadi kuongoza kwa mifano jinsi ya kupiga nyungu kwa mtindo wa ku dramatize.
Sasa tuna CinC mwingine, anayeamini kwenye chanjo, ilikuwa ni busara ya kawaida tuu, wale wasaidizi wawili walio ibeza chanjo, wangepumzishwa, na kuteuliwa wasaidizi wengine wawili kuitetea chanjo.
Kitendo cha wasaidizi wale wale walio icheza ile ngoma ya mpiga ngoma aliyetangulia na waliowaaminisha Watanzania kuwa chanjo hazufai, sasa baada ya kuingia kwa mpiga ngoma mpya, amebadili beat na tune, halafu wacheza ngoma ni wale wale, dancing to the new tune and new beat with dramatising kuwa chanjo ni nzuri, haijakaa poa!.
Ndio maana ninashauri ili kuimalizia all this bickering going on kuhusu chanjo ya Corona, kwanza hawa marrionates wote wawili pale mahali, despite the fact, they are very good dances, ambao wanadance well with every changing beats, wapumzishwe. Kuna vitu unaweza kutumia dramas na comedy kuhamasisha, waachiwe dramatist na comedians, and not politicians. Kitendo cha comedians cum politicians wa marrionates type who can dance every beats and changes with every tune, kuiifanya hii chanjo kuonekana kama ni drama fulani au ni comedy fulani. Chanjo ya Corona ni something very serious na kinahitaji some very serious people kumsaidia CinC kuhamasisha watu wachanje sio hao comedians wote wawili hapo, Mama kwanza onyesha uwezo kuwa you are very serious and no nonsense lady kwa kuwaweka pembeni, choose some serious people, hawa comedians aliwarithi achana nao, watakuaibisha!.
Na mwisho ni yule drama king aliyepewa kichwa na naniliu, sasa masikio yamezidi kichwa, analeta zile dharura za Kisukuma kudharau wanawake, ameonyesha dharau kubwa kwako na kwa mteule wako!. Amefikia kulitukana, na kulidhalilisha kabila lote zima kisa tuu tumetofautiana na shemeji yake. Huyo ni attention seeker, kadri anavyo shughulikiwa ndio kwanza mnampa umaarufu. Sishauri ashughulikiwe kikamilifu kwa ule mtindo wa kilisulisu, zikimkosa mbili mtu unatoa maelezo!. Dawa ya kuwashughulikia attention seekers ni kuwa ignore, just scrap him ile jeuri ya kubebwa na homeboy wake, reduce him to an ordinary man, abaki kuwahubiria tuu neno la Mungu na sio kuwahutubia Watanzania kila Jumapili akitokea mimbarini kwake, mimbari iwe ni kwa yaliyo ya Kimungu, akifanya ya Kaisari mimbarini kwa yaliyo ya Kimungu, then ni Mungu mwenyewe utamshughulikia kwa kutumia mimbari yake kufanya ya Kaisari.
Jumatatu Njema.
Paskali
Pumbavu,huyo Taperi amfute Rais, Kuna tetesi 99% dawa yake inachemkaMama anaogopa kufutwa kwenye ulimwengu wa siasa kama alivyofutwa Makonda. Gwajima siyo wa mchezo mchezo ujue.
Wewe lazima uitwe kwenye kamati ya maadili ya chama chetu, huwezi kuwadhalilisha wabunge namna hii!Wakipumzika wengine atawatoa wapi?
Wabunge wetu ndio hawa akina babu Tale Kinanasi, Kigwangalla, Tabasamu, Kibajaj yaani wote ni full comedy!
Huwa naheshimugi sana mawazo yako mkuu, hapa ninatofautiana na wewe kistarabu kabisa,Kwanini huyo Drama King apuuzwe? nae anatakiwa kushughulikiwa ili iwe fundisho kwa wengine wanaopingana na maamuzi ya chama chao kwa public.
Yaani ampige chini Dorothy Gwajima,sababu ya kelele za huyo chizi muimba taarabuMama anaunda baraza lake kimyamya hilo bila shaka atafanyia kazi
Huyo taperi ni wakati sasa serikali immalize mazima, Ni hatari kwa usalama wa TaifaHuwa naheshimugi sana mawazo yako mkuu, hapa ninatofautiana na wewe kistarabu kabisa,
Ni lazima kwa sasa kama taifa, tunapaswa tufikie kwenye kiwango cha juu kabisa kuwaacha watu watikiri zaidi hasa tunapohitaji kupata majibu ya mambo fulani
Wapiga kelele kuhusu chanjo hizi, kwanza hawapo Tanzania pekee, hadi huko zinakotengenezwa wapo kina Askifu Gwajima wengi tu, kwa nini inapotokea Tz iwe ni kosa kubwa tena la kijinai?
Kwani kelele za Gwajima lengo lake ni nini? Je, ni kutaka kuboresha baafhi ya mambo ama ni anataka na kuwahimiza wananchi kwamba,hata watalaamu wakiboresha na kusahakikishia zaidi usalama wa chanjo waendelee kuzikataa chanjo
Ni wapi Gwajima amekataa katakaya kwamba chanjo hazifai na hataki watu wachanje zaidi ya kuitaka mamlaka husika kuja na majibu ya kwere zake?
Mamlaka inasema, Chanjo ni salama, Lakini kwa nini mamlaka inakataa kuingia gharama pindi mwananchi akipata madhara ya chanjo?
Kosa la huyo unayedhani anakosa ni lipi? Kwa nini uhuru wetu kama nchi hatutaki tuutumie kwa ajiri yetu sisi wenyewe, Kwa nini mnadhani kila anayetaka jambo fulani litolewe maelezo ya kina anakiuka uhuru wake?
Tuacheni ujinga, Tufanyeni mambo yetu kwa kila aina ya tahadhari huku tukithamini kila afya ya mtanzania, Kuchanjwa watu wa nchi zingine, haitufanyi tusitake kufahamu juu ya kile tunaletewa kama ni salama ama la
Duuh hapa kuna mtu kapigwa dongo!Nanukuu,
"ukisikia watoto wanapiga makelele huku wanatukanana, then ujue wazazi wamesafiri, watoto wamebaki na house girl, hivyo wanamdharau!".
Pascal, unarudi taratibu kutoka ulikokuwa na kwenda kwenye u-great thinker. Nenda hivyo hivyo, baadaye unaweza kuwa kwenye full level, kabla ya kuitwa kwenye kamati.Wanabodi,
Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama
Nyumba Yetu Inazidi Kelele, Jee Tumshinikize Mama Aonyeshe Uwepo Wake, navUwezo Wake Kuwatuliza hawa watoto wake wasio na adabu, wanaparurana mchana kweupe na Mama yupo anawaangalia tuu?!. Mama Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe.
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu kwa maslahi ya Taifa.
Angalizo
JF ilipoanzishwa ilitarajiwa iwe ni home for the great thinkers, na great minds to discuss ideas.
Ila ikajikuta kwenye society kuna simple minds ambao ndio wengi, wata discuss people, kuna ordinary minds wata discuss events, na kuna great minds ambao ni wachache, hawa wata discuss ideas.
Hili ni bandiko kwa ajili ya great minds, hatujadili watu, wala matukio, tunajadili ideas, hivyo hakuna jina la mtu yoyote litatajwa humu, nakuomba na wewe usitaje jina la mtu yoyote.
Japo mimi sio great thinker, lakini naweza kuandika na kufikisha ujumbe maalum kwa hao great thinkers. Kwenye bandiko hili nimesema Marrionates tuu bila kuwataja, wala pale wapi au drama King.
Kuna nyumba baba na mama ni wakali, sasa siku ukisikia watoto wanapiga makelele huku wanatukanana, then ujue wazazi wamesafiri, watoto wamebaki na house girl, hivyo wanamdharau!, wanapiga makelele kama nyumba haina wazazi.
Dunia nzima sasa iko kwenye vita vya Corona, mpaka ugonjwa wa Corona, bado hauna kinga, wala tiba, kama ulivyo ugonjwa wa ukimwi, ila ukigundulika mapema kuwa umepata maambukizi virusi vya ukimwi, na kabla hujaanza kuathirika, ukitumia vidonge vya ARV, uta fubaza virusi hivyo, hivyo kuvizuia visikuathiri, na ukizingatia masharti, utaendelea kuishi kwa muda mrefu.
Tangu mtu anapoambukizwa virusi vya ukimwi, kwanza unachukua muda mrefu kugundua, na kuna wengine wao ni ma carriers tuu wa virusi hivi wakivibeba kwenye miili yao, na kuwasambazia wengine lakini wao hawaathiriki. Tangu virus hivyo vya HIV kukuingia hadi kupata ukimwi, sometimes takes ages. Na hata ukiwa na ukimwi, na ukaanza kuugua, sometimes you take ages hadi kufa.
Virusi vya ukimwi vinashambulia mfumo wa kinga mwilini, hivyo kufa ni taratibu, lakini virusi vya Corona, vinashambulia mfumo wa upumuaji, usipo wahiwa hospitali, kifo ni fasta!. Mtu mlikuwa nae jana tuu mkila na kucheka nae, kesho yake unaambiwa kafa!. Lazima utashituka na kupingwa butwaa, bumbu wazi.
Kinga pekee ya uhakika ya ukimwi ni kuzuia ukimwi usikupate, na kinga pekee ya uhakika ya Corona ni kuzuia Corona isikupate.
Katika kukabiliana na janga la Corona, sasa kumepatikana chanjo ya Corona, hii chanjo sio tiba na sio kinga ya asilimia 100% kwa 100% kama chanjo ya ndui, polio na pepopunda ambazo zinachomwa kwa watoto wote dunia nzima. Chanjo ya Corona ni kujikinga wewe ili hata ikitokea ukapata maambukizi ya virusi vya Corona, hiyo chanjo mwilini mwako itakusaidia kwa chanjo hiyo kuuwezesha mwili wako kutengeneza kinga ya kivikabili virusi hivyo.
Hivyo Corona ni vita na mapambano ya vita hii yanaongozwa na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yetu, huku akisaidiwa kisiasa na viongozi wakuu wote, lakini kiutendaji na utekelezaji akisaidiwa na makamanda wawili fulani, Waziri na Naibu Waziri.
Kwa vile vita hii alipoingia, Taifa lilikuwa chini ya CinC mwingine ambaye hakuamini kwenye chanzo. Wale makamanda wasaidizi wawili, waliunga mkono msimamo wa Amiri jeshi wa wakati huo na kuwaaminisha Watanzania, jinsi chanjo hazifai na kuzibeza kwa sauti kubwa tena hadi kuongoza kwa mifano jinsi ya kupiga nyungu kwa mtindo wa ku dramatize.
Sasa tuna CinC mwingine, anayeamini kwenye chanjo, ilikuwa ni busara ya kawaida tuu, wale wasaidizi wawili walio ibeza chanjo, wangepumzishwa, na kuteuliwa wasaidizi wengine wawili kuitetea chanjo.
Kitendo cha wasaidizi wale wale walio icheza ile ngoma ya mpiga ngoma aliyetangulia na waliowaaminisha Watanzania kuwa chanjo hazufai, sasa baada ya kuingia kwa mpiga ngoma mpya, amebadili beat na tune, halafu wacheza ngoma ni wale wale, dancing to the new tune and new beat with dramatising kuwa chanjo ni nzuri, haijakaa poa!.
Ndio maana ninashauri ili kuimalizia all this bickering going on kuhusu chanjo ya Corona, kwanza hawa marrionates wote wawili pale mahali, despite the fact, they are very good dances, ambao wanadance well with every changing beats, wapumzishwe. Kuna vitu unaweza kutumia dramas na comedy kuhamasisha, waachiwe dramatist na comedians, and not politicians. Kitendo cha comedians cum politicians wa marrionates type who can dance every beats and changes with every tune, kuiifanya hii chanjo kuonekana kama ni drama fulani au ni comedy fulani. Chanjo ya Corona ni something very serious na kinahitaji some very serious people kumsaidia CinC kuhamasisha watu wachanje sio hao comedians wote wawili hapo, Mama kwanza onyesha uwezo kuwa you are very serious and no nonsense lady kwa kuwaweka pembeni, choose some serious people, hawa comedians aliwarithi achana nao, watakuaibisha!.
Na mwisho ni yule drama king aliyepewa kichwa na naniliu, sasa masikio yamezidi kichwa, analeta zile dharura za Kisukuma kudharau wanawake, ameonyesha dharau kubwa kwako na kwa mteule wako!. Amefikia kulitukana, na kulidhalilisha kabila lote zima kisa tuu tumetofautiana na shemeji yake. Huyo ni attention seeker, kadri anavyo shughulikiwa ndio kwanza mnampa umaarufu. Sishauri ashughulikiwe kikamilifu kwa ule mtindo wa kilisulisu, zikimkosa mbili mtu unatoa maelezo!. Dawa ya kuwashughulikia attention seekers ni kuwa ignore, just scrap him ile jeuri ya kubebwa na homeboy wake, reduce him to an ordinary man, abaki kuwahubiria tuu neno la Mungu na sio kuwahutubia Watanzania kila Jumapili akitokea mimbarini kwake, mimbari iwe ni kwa yaliyo ya Kimungu, akifanya ya Kaisari mimbarini kwa yaliyo ya Kimungu, then ni Mungu mwenyewe utamshughulikia kwa kutumia mimbari yake kufanya ya Kaisari.
Jumatatu Njema.
Paskali
Acheni ujinga bhana, ubaya wake uko wapi?Pumbavu,huyo Taperi amfute Rais, Kuna tetesi 99% dawa yake inachemka
Gwajiporn ana hatarisha usalama wa Taifa, dawa yake ni moja tu, azimweRais anamuogopa Gwajima