Nyumba yetu inazidi. Rais onyesha uwepo wako, Uwezo Wako Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe

Polepole aliteuliwa na mwendazake!
 
Tunaojua malezi ya familia zisizo na baba wala hatushangai, mara nyingi huwa ni ya hovyo mno.

Kaya namughe.[emoji1614][emoji276]
 
1. Gwajima ni adui yako alikushinda Kawe
2. Gwajima alikuudhi kiimani alisema Pengo amekula maharage mabovu.since then ukajenga chuki kwake.
3. Gwajima anajiamini anasimamia anachoamini ilhali wewe njaa inakusumbua (mayala means njaa)
4. Unatafuta sana Uteuzi ingawa bado hujaonekana. Umejivika kuwa mpambanaji wa mtu na si ukweli.

Usiweke chuki kwenye hoja za Gwajima. Jibu hoja zake. Lakini mwache atumie hoja yake kikatiba kama ambavyo wewe umetumia kwa kupata chanjo na kushauri watu wakachanjwe.



 
 
We nae pindi anamshambulia kikwete umesahau? Makonda umesahau ? Kadnali pengo je? Kwani hujui kuwa hawa wote ni wanaume tena ndo mara ya kwanza kuwashambulia akina mama Si kweli kwamba anadharau za kisukuma hapana Hiyo si kweli.Huyu jamaa toka wakati wa Kikwete je kwa Magu alikuwa Rais? Suala la kumtukana pengo kuhusu Mahakama ya kadhi Magu hakuwa Rais.
 
Sawa...

Ofcoz si lazima sana uwe sahihi kwa ulichoandika hapa, hata hivyo binafsi naheshimu mawazo yako haya bila kujali udhaifu wake...

Lakini nina la kusema kidogo kutofautiana na wewe...

Kwanza mimi sijaona ubaya wowote kutosema wazi kuwa, huyu "attention seeker" ni Bishop Rev. Josephat Gwajima...

Na hujaeleza, Mch. Gwajima anasaka attention kwa nani na ili iweje maana huyu ndugu tayari anayo attention na heshima kubwa sana toka mbinguni kwa Mungu Yehova na watu wote ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 30 sasa..!!

Lakini pia, nadhani ni bahati mbaya sana kuwa, kwa namna ulivyojenga hoja zako, inawezekana kuna uwezekano mkubwa kuwa, hukutazama wala kusikiliza mwanzo hadi mwisho mahubiri yake ya jana ambapo kupitia kwayo aliyahusianisha na haki halisi ya kinachoendelea nchi kwetu kwa sasa...

Hapa ndipo lilipo tatizo lako bwana Paschal Mayalla...

Na binafsi hata sikulaumu kwa kutomwelewa Mch. Josephat Gwajima ktk mahubiri yake ya Jana kwa sababu wewe na yeye + wengine wote tunaomfuata tu tofauti...

Yaani tunafikiri na tuko installed kupitia masafa (frequency) tofauti kabisa...

Mch. Gwajima na sisi wengine tunayatazama na kuyajadili mambo haya in biblical spiritual perspective kwanza kabla ya kuyaleta na kuyatendea kazi kimwili...

Nyie wenzetu mnafikiri kwa jinsi ya mwili na mnataka kutenda kwa jinsi hiyo hiyo. Frequency hizi hazipatani na hazitaweza kuja kupatana hata siku moja...!

Mwisho, si kweli kwamba Mch. Gwajima jana katika mahubiri yake alidhalilisha kabila fulani (hopefully unamaanisha ndugu zetu wanyiramba toka Singida) kwa sbb ndilo kabila la Dr. Dorothy Gwajima....

Ni wazi kuwa hukumwelewa vyema mchungaji. Nakushauri tazama na sikiliza tena na kwa umakini mahubiri yote hatua kwa hatua na kama una akili huru ya kufikiri na kutambua au kuelewa mambo, utajua mara moja kuwa Mch. Gwajima ni mtu mwema na mwenye akili na ufahamu wa hali ya juu sana...!!
 
Si kweli hajaanza Leo kupasua watu toka kwa Kiwete
Serikali inatakiwa kummaliza huyo taperi kwa risasi nyingi za kichwa, haiwezekani hailetee dharau serikali,Ni wakati Sasa azimwe kabisa, ana chuki binafsi na Rais aliyepo Sasa, na ana ukabila wa Hali ya juu na udini pia
I
 

Yawezekana kuwa tuko vibaya kuliko tunavyo fikiria. Yawezekana wenye neno la mwisho wala si huyu unayejaribu kumshauri.

Siyo ajabu kukuta walioshika hatamu si tunaoaminishwa. Yalishaonekana hayo Rwanda, Burundi na nchi nyingine pia.

Makelele yote haya hata kenge asingekuwa kesha sikia kweli?!
 
Bado alikuwa na nafasi ya kupiga chini akabaki kuwa mbunge na akatafuta mwingine humo ndani Ndugulile alifaa kwenye wizara hiyo then mawasiliano angetafuta mtu mwingine na heri Mara Mia angemrudisha umy mwalimu kuliko huyu dada yangu hovyo mpaka mtu unatamani usiseme kuwa ni ndugu
 
Nadhani changamoto hapa labda hata wale waliokuwa ndani ya mjengo wengi waliwekwa na Baba sasa hata akivunja watoto wa Mama hawatoshi wengi ni wako kwa fadhila ya Baba bado watiifu. Ila kwenye hili tufanye wale kina Ponda Ponda ndio wangekuwa wanafanya haya ya King wakupenda matukio wangekuwa wapi sasa hivi? labda wangejumuishwa na mzee Baba kisutu. Nyumba ilikuwa na nidhani wakati wa Baba na Mama wote wako sasa Baba kaondoka Mama anadekeza watoto mwisho wanaanza kukosa adabu nje na ndani. Mama safisha nyumba weka wapya wale watoto wa Baba mkubwa mbona yupo bado na anawajuwa watoto wa ndugu yake wote na tabia zao yeye alishawahi kulea ukoo wote anajuwa tabia zetu zote. Najuwa uliruhusiwa kuchukuwa watoto 10 toka majalalani na Baba alishawaleta vinginevyo ungewaleta wakakusaidia. Ila Mama lazima uwe mkali watoto wajue Mama sasa hataki ujinga ukiendelea hivi watakudharau hata watoto wa majirani wataanza kukudharau fanya kama Mama kabla watoto hawajaanza kuvuta bangi na kuuza nyumba ya urithi wakati bado Mama yupo. safisha nyumba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…