Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Kenan Makinda ni kaka wa Anne Makinda na pia ni Captain mstaafu wa jeshi lakini pia ni Rubani mstaafu amestaafu wakat akirusha fly Emirates.

Kenan Makinda ni baba mzazi wa Tony Makinda.
 
Huyu ana mashamba huko Morogoro huwa watu tunakodi na kulima auze ili akakomboe hizo nyumba
 
Achq tu zipigwe mnada, wana ccm wenzie watanunu
 
Serikali itasaidia wangapi nyumba zao zisipigwe mnada?mwache apambane na Hali yake kama wengine wanavyopambana...
 
Nadhani huu mnada itakuwa ndiyo umeanza kutimia utabiri wa Mstaafu Spika aliosema nchi hii soon itapigwa mnada. Hivi hizi si dalili kweli? Au ni macho yangu ^jar-man-knee^? Koz, huyu Makinda ni miongoni mwa papa wakubwa kwenye ile bahari pendwa ya siasa, utawala na serikali ya nchi hii.

Kama yeye anapigwa mnada, anayefuatia ni nani kama si liinchi letu lote?
 
Kabisa unaomba serikali imsaidie? Halafu tunadhani tutafika wakati tuna wananchi kama nyie.
 
Tony Kenan Makinda ndiye Anna Semamba Makinda!? Hili swali ni kwa mleta uzi, tueleze!
 
Nini shida
 
Naona mama alisahau kulipa anachodaiwa. Alikuwa "busy" na parliamentary matters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…