Nyumba za kupanga ni mateso sana

Aisee
 
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga....
Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi juta kukaa nyumba ya kupanga.

Nimekula sana watoto wa wapangaji wenzangu.

Nimekula sana vibinti uswazi
 
Hakika kabisaa yaan.
 
Hiyo nzuri, mawazo ya kujenga yanakuja haraka.
 
jaribu kujua kabla mazingira unayoenda kupanga,ila vumilia fanya mambo yako dont complicate small things hutaishi kwa raha ukiwa unawaza watu wanasema nn au wanakuonaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…