Nyumba za kupanga ni mateso sana

Nyumba za kupanga ni mateso sana

Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.
Haki ya nan nawaachia kodi yao tu.
Aisee
 
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga....
Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi juta kukaa nyumba ya kupanga.

Nimekula sana watoto wa wapangaji wenzangu.

Nimekula sana vibinti uswazi
 
We fala umenichekesha sana ila acha uboya! Ongeza upange Apartment ni aghali ila kuna raha yake amini nakwambia. Jichange change tu ukae kwako ukiwa fully fledged ukiingia ndani kwako unakuwa unamaliza mambo yote yani kinachokutoa nje ni kuanika nguo tu....
Hakika kabisaa yaan.
 
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.
Haki ya nan nawaachia kodi yao tu.
Hiyo nzuri, mawazo ya kujenga yanakuja haraka.
 
jaribu kujua kabla mazingira unayoenda kupanga,ila vumilia fanya mambo yako dont complicate small things hutaishi kwa raha ukiwa unawaza watu wanasema nn au wanakuonaje.
 
Back
Top Bottom