Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeNinayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.
Haki ya nan nawaachia kodi yao tu.