Wahindi wamenunua huko wanapoishiWahindi ni matajiri namba moja Tanzania na Miaka yote huishi nyumba za kupanga
Watoto wao wanasomesha Ulaya na Marekani
Mtu ukiwa lofa kama mleta mada utatafuta kila kisingizio !!
Ningekuwa mimi,naanika nguo zangu juu ya chupi zake.Hujapanga nyumba ninayokaa mimi wewe
jirani yangu akifua chupi anajaza kamba nzima
Huo upuuzi kuna bwege mmoja aliwahi kunifanyia maeneo ya Uyole-Mbeya,nikamuonyesha kuwa mimi ni nani!.Wenye nyumba wengine ndio hutaka kuwa wa mwisho kuingia ndani au wa kwanza kuingia chooni asubuhi.
Wengine wanakataza usibadilishe Mbususu kwenye nyumba yake.
Ni shiidaa...!!!!
Kwani wewe umezuiwa kwenda kupanga huko wanakopanga wahindi?Wahindi wengi wanapanga nyumba za taasisi sio nyumba za Mzee kondo sijui bi nyau!
Nyumba za National Housing Housing hazijauzwa zinapangishwa hizo za katikati ya mijiWahindi wamenunua huko wanapoishi
Mi nimeishi Upanga nyuma ya Tambaza, kule wahindi wengi wamenunua zile flatsNyumba za National Housing Housing hazijauzwa zinapangishwa hizo za katikati ya miji
Ningekuwa mm ningemwambia kama hataki nilete dem ajege yy gheto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wapangaji wengine huwa wanajipa mamlaka ya kusimamia kila kitu kama vile wao ndio wenye nyumba......kuna limama lilifikia hadi kuniambia eti nisilete wanawake kwangu huwa hapendi...naona alijipa hadhi ambayo..sasa juzi nasikia mpangaji ambae huwa tunampa bili za maji na umeme alipie akawa analalamika kuwa lile limama lina miezi 3 halijalipa maji wala umeme....aisee nikajihisi kifua kimejaa balaa..limama kwenye kikao linajifanya kujam...nikaliambia wewe ni msen** kama wasenge wengine tuliwasha moto balaa
Duh hatari sanaKuna nyumba moja niliwahi kuishi nilikutana na maza mmoja mtata sana. Wakati nahamia mume wake alitaka kuweka uzio katikati maana zilikuwa nyumba mbili kwenye uzio mmoja lakini huyu maza alikataa. Ilikuwa nikipata mgeni ananiita kuniuliza anakaa hadi lini, kuna wakati aliniambia sasaivi shimo la maji taka limewahi kujaa inaonekana nawageni wengi wanaotumia choo na kuflash mara kwa mara.
Siku moja mapema alinipigia simu na kuniambia mkataba ukiisha nihame baada ya kumuona mdogo wangu anatoka kwangu asubuhi. Huyu dogo aliwahi kunitembelea maza akaniita kuniuliza nikamwambia amekuja kutembea tu ataondoka, dogo aliondoka baada ya wiki akarudi tena kwangu ndio asubuhi yake alipomuona maza akanipigia kunipa taarifa zile za kunitaka kuhama.
Nashukuru nyumba niliyopata sasaivi naishi peke yangu japokuwa kuna nyumba mbili lakini hii moja mwenye nyumba kaweka mlinzi tu yeye hana time yuko zake nje ya nchi, hapa nakaa kwa amani sana naimani sitahama hadi nahamia kwangu 😛
Hizo nyumba za washirikina.Utapangaje nyumba bila kufahamu masharti au maelekezo ya wenyenyumba?...haya mambo ya kupangiana masharti magumu yasiyotekelezeka kikawaida yapo sana, huruhusiwi sijui kupika nguruwe,mara kujipuliza perfume sijui kuwahi kuamka yani pesa yako inakutesa, hizi ni akili za kitapeli...watu wajenge ili waishi kwao sasa.
Duh hii hatari sasaWapo landlord wachawi nyumba zao nzuri tu lakini huwezi maliza mwezi unahama mwenyewe na kodi wanachukua ya miezi sita na hawarudishi. Wana weka majini kwenye nyumba zao utakula vitimbi utahama mwenyewe, hula na madalali na madalali wanajua dili hizo, maadamu wao percentage yao ipo. Na kisheria uwakamati maana sheria haitambui uchawi. Mkataba unakuwa umevunja mwenyewe kwa kuondoka kabla ya kodi yako.