Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana.
Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi.
South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri, nyumba zimepishana, unakuta ghorofa katikati ya mbavu za mbwa hadi unajiuliza tatizo nini?
Tujifunze kwa hawa waarabu, mwanzo nilipinga Wapalestina wasiletwe nchi zetu hizi, lakini naona kuna haja tukiwafikiria sasa, sisi tumeshindwa kila kitu.
Vita hatuwezi, Siasa hatuwezi, kujenga hatuwezi, tunaweza nini?