Nadhani kwenye hilo sina ubishi maana tunafanikiwa sana.Tunaweza uchawa na upumbavu
Wapelestina wasiltwe kwenye nchi zetu hayo mengine ni juu YakoHuwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana.
Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi.
South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri, nyumba zimepishana, unakuta ghorofa katikati ya mbavu za mbwa hadi unajiuliza tatizo nini?
Tujifunze kwa hawa waarabu, mwanzo nilipinga Wapalestina wasiletwe nchi zetu hizi, lakini naona kuna haja tukiwafikiria sasa, sisi tumeshindwa kila kitu.
Vita hatuwezi, Siasa hatuwezi, kujenga hatuwezi, tunaweza nini?
Tulete na waisrael.Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana.
Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi.
South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri, nyumba zimepishana, unakuta ghorofa katikati ya mbavu za mbwa hadi unajiuliza tatizo nini?
Tujifunze kwa hawa waarabu, mwanzo nilipinga Wapalestina wasiletwe nchi zetu hizi, lakini naona kuna haja tukiwafikiria sasa, sisi tumeshindwa kila kitu.
Vita hatuwezi, Siasa hatuwezi, kujenga hatuwezi, tunaweza nini?
Watauwana, tuchague upande mmoja.Tulete na waisrael.
Basi tulete wa Syria au waisraelWapelestina wasiltwe kwenye nchi zetu hayo mengine ni juu Yako
Wewe sisi hao hawatuhusi wabaki huko hukoBasi tulete wa Syria au waisrael
Tunataka maujuzi yao. Ikiwezekana waamie wote.Wewe sisi hao hawatuhusi wabaki huko huko
Popote walipokaribishwa walitaka kufanya mapinduziTunataka maujuzi yao. Ikiwezekana waamie wote.
Wanaakili sana, sisi hata uchaguzi hatuwezi, bora waje watufundishe kupindua.Popote walipokaribishwa walitaka kufanya mapinduzi