Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Alafu kuna kitu kinaitwa KIFO.. mie nikifikiria hili swala.. naishiwa nguvu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye hela hawafi haraka mkuuAlafu kuna kitu kinaitwa KIFO.. mie nikifikiria hili swala.. naishiwa nguvu..
Ah wanakufa mapema mkuu.. Maskini ndio tunabaki ili tuliote joto la jiwe vzrWenye hela hawafi haraka mkuu
Naunga mkono hoja kaka 🤣 😁
320 inatoboaHapana mkuu 320 utoboi
Tena New York, unanunua nyumba 10Hiyo pesa unanunua nyumba US na unapewa hadhi ya mwekezaji
Sio kweli, mbweni kiwanja Cha sqm 1200 unapata kwa mil 120-150. So Cha sqm 2000 unapata vizuri tuNaunga mkono hoja ila milion 320M pengine kiwanja tu cha squre metre 2000 , Mbweni hupati
Jamaa huwaga kazi yake ni ku like tuu, kweli nimeamin hii pesa kubwa.Leo umecomment mkuu
Kweli price imekugusa😅😅😅
Labda ujenge chanika mkuuHii nyumba hata tshs bil 1 huwezi pata mteja na sio nyumba ya kifahari hii, nyumba kama godown kwa nje, hivi hata kujua thamani halisi ya nyumba hamjui..!! Hii nyumba najenga kwa tshs mil 320 tena yenye structure nzuri kuliko hii…!!
watoto wa mwamposa mna mbwembwe$ 3M is not that much,ni just kama 8B tsh which is affordable to me,nimechukua namba zako.
The money I have in my mind is much more than the price of this house.
Nipo kweye kampeni ya kuushitua umasikini na utaondoka tu,hapa sio pahala pake umasikini alaa
Ukizipata usije kununua nhumba ya hivyo kwa bilioni 8Tutafute hela aisee
Mnapenda kuandika uongo.Labda ujenge chanika mkuu
Ukitoa hiyo nyumba unajua Yu beibya kiwanja sqm 2000 mbweni jkt?
Hiyo Hela ulotaja ndo pesa ya kununulia kiwanja pekee kabla ya ujenzi n bado haimtoshi
Karibu Dar🤣🤣🤣