House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali
TAJIRI NAAM ILI JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA LIPO MBWENI JKT, JUMBA KUBWA LA GHOLOFA 1
INA VYUMBA V4 VYOTE NI MASTER BADROOMS, NYUMA KUNA BOY COTER INA VYUMBA V5 VYOTE NI MASTER BEDROOMS, KUNA SWIMING POOL KUBWA,
UKUBWA WA UWANJA NI SQM-2000, INA TITLE DID YAANI INA HATI
INAUZWA DOLA MILION 3$, UKUTA WA NYUMBA HIZO HAIPITISHI RISASI (BULLET PROOF) HILI JUMBA LINAUZWA NA FENICHA ZAKE ZA NDANI HAKUNA KINACHO TOLEWA,,

👉 MENGINE ZAID NJO UJIONEE MWENYEWE SITE TAJIRI

👉 WOTE MNAKARIBISHWA KWA MAWASILIANO ZAID PIGA NAMBA HIZO HAPO

👉0675 065906

View attachment 3086230View attachment 3086232View attachment 3086234View attachment 3086235View attachment 3086236View attachment 3086237View attachment 3086238View attachment 3086239View attachment 3086240View attachment 3086241View attachment 3086242View attachment 3086243View attachment 3086244View attachment 3086245View attachment 3086246View attachment 3086247View attachment 3086248
Hiyo namba napiga mbona hapokei...
 
Hiyo pesa unanunua nyumba US na unapewa hadhi ya mwekezaji
Yaani umeongea point sana.

Always I wonder watu wanapataga wapi hizi bei za nyumba zao hapa bongo.

Gharama ya nyumba Mbweni, sijui Posta inazidi gharama ya nyumba London, Dubai, USA na nchi zote zilizoendelea.

Hiyo hela unanunua Nyumba sehemu yoyote USA. Uingereza, Dubai na mwaka rent unapata zaidi ya 200M ya kitanzania in few years inarudi yote.
 
Yaani umeongea point sana.

Always I wonder watu wanapataga wapi hizi bei za nyumba zao hapa bongo.

Gharama ya nyumba Mbweni, sijui Posta inazidi gharama ya nyumba London, Dubai, USA na nchi zote zilizoendelea.

Hiyo hela unanunua Nyumba sehemu yoyote USA. Uingereza, Dubai na mwaka rent unapata zaidi ya 200M ya kitanzania in few years inarudi yote.
Tanzania hasa Dar es salaam wajanja wajanja wengi sana..
 
Labda ujenge chanika mkuu
Ukitoa hiyo nyumba unajua Yu beibya kiwanja sqm 2000 mbweni jkt?
Hiyo Hela ulotaja ndo pesa ya kununulia kiwanja pekee kabla ya ujenzi n bado haimtoshi
Karibu Dar🤣🤣🤣
Viwanja Dar es Salaam bei zake ni upigaji sana na kwasababu hakuna udhibiti
 
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI MWISHO KWEMBE RUGURUNI - DAR ES SALAM. ( MILLION MIL 48)

Mawasiliano: 0675 065906

Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: (Eneo Limerasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 600

Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo

Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio

Bei : 48 Million (Maongezi Yapo)

1725522231563.jpg
1725522228794.jpg
1725522225847.jpg
1725522223519.jpg
1725522221220.jpg
 

Attachments

  • 1725522219008.jpg
    1725522219008.jpg
    199.5 KB · Views: 1
  • 1725522216738.jpg
    1725522216738.jpg
    197.4 KB · Views: 2
  • 1725522214256.jpg
    1725522214256.jpg
    232.2 KB · Views: 3
  • 1725522212014.jpg
    1725522212014.jpg
    254 KB · Views: 3
  • 1725522209805.jpg
    1725522209805.jpg
    234.3 KB · Views: 3
  • 1725522207212.jpg
    1725522207212.jpg
    261.1 KB · Views: 2
  • 1725522205053.jpg
    1725522205053.jpg
    243.3 KB · Views: 2
  • 1725522202845.jpg
    1725522202845.jpg
    242.1 KB · Views: 2
  • 1725522200317.jpg
    1725522200317.jpg
    253.8 KB · Views: 2
A/Kiwanja Kibaha Maili moja(Pangani)
Eneo lina sqm 976
Plot 155
Kina hati miliki
Bei million 13
0675 065906
B/Kiwanja kipo Kibaha Msufini
Kiwanja kina Heka 2.5
Lipo umbali wa mita 100 kutoka morogoro road
Bei mln 150
0675 065906
 

Attachments

  • 1725533288784.jpg
    1725533288784.jpg
    315.5 KB · Views: 1
  • 1725533274472.jpg
    1725533274472.jpg
    291.5 KB · Views: 1
  • 1725533270671.jpg
    1725533270671.jpg
    281.7 KB · Views: 1
  • 1725533268312.jpg
    1725533268312.jpg
    305.8 KB · Views: 3
  • 1725533259929.jpg
    1725533259929.jpg
    311.4 KB · Views: 2
  • 1725535804779.jpg
    1725535804779.jpg
    359 KB · Views: 3
KIWANJA KINAUZWA KIMARA BUCHA

NI KIMARA BUCHA UMBALI WA DAKIKA 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGOROROAD
.
KIWANJA KINAUKUBWA WA EKARI 1

BEI NI 150ML MAONGEZI YAPO

0675 065906
 

Attachments

  • 1725534046240.jpg
    1725534046240.jpg
    350.9 KB · Views: 3
mbona ya kawaida sana haiendani na hiyo hela?

Angalia bei za Nyumba new york alafu uje ulinganishe na gharama ya nyumba mbweni sijui wapi 😅 😅 😅

Hiyo nyumba kwa mwaka huwezi kupata rent milion 20, New York million 150 ya kitanzania unapata nyumba inayokuingizia kuanzia million 20 kwenda mbele.

Ifike Mahali Madadali wasimamawe na bei ziamuliwe na soko
 
KWA HIYO HELA ILTAKIWA IWE INAANGALIA BAHARI,BY THE WAY MIMI HAPA NDO KWANZA NIMEKOPA KAKIWANJA KA MILIONI 2 CHANIKA...HAPA MM NAISHIA KUSOMA GAZETI TU
 
Back
Top Bottom