numis
Senior Member
- May 25, 2017
- 176
- 188
Ttcl iko vzr kweny upatikanaj wa huduma kila mkoa unaoenda tofaut na zantel huku niliko hawajui hata zantel ni nini japo ni jiji kubwaInabidi nitafute laini ya Zantel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ttcl iko vzr kweny upatikanaj wa huduma kila mkoa unaoenda tofaut na zantel huku niliko hawajui hata zantel ni nini japo ni jiji kubwaInabidi nitafute laini ya Zantel
Wameirudisha hii ofaZantel wapo vzr 500 wanakupa Mb 500 wiki nzima.
1500 GB 1.5 plus dakika 160 kwenda mitandao yote
Yeah ipo mkuuWameirudisha hii ofa
hii ni ofa gani mkuu?Zantel wapo vzr 500 wanakupa Mb 500 wiki nzima.
1500 GB 1.5 plus dakika 160 kwenda mitandao yote
Me naona Halotel walikua poa ngoja tusubiri kama wanarudi au.Ingia TTCL *148*30*35# utainjoi
Ni kifurushi cha Un nadhani jaribu *148*05# ikukubali mambo bambamhii ni ofa gani mkuu?
Halotel mtandao unasumbua sana , sijui shida nini?Me naona Halotel walikua poa ngoja tusubiri kama wanarudi au.