Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Zantel na Airtel [emoji123]
Screenshot_20210404-120054.jpg
View attachment 1742928
 
kwa alie mkoa wa geita naumba anipe mrejesho vip mtandao wa ttcl hapa chato uko na kasi gani ili n mm nitumie huo
 
Hahaha subiri nihamishie lain yangu kutoka kwenye kiswaswadu niweke hela maana airtel na halo wamenichosha
 
Hivyo ni vifurushi vya wachawi wenyewe wanaita 'bandika bandua' 24hrs.
Hicho cha buku mchana wanakulimit 500mb tu na zinazobaki ni mpaka saa 6 usiku unakesha nazo na cha pili vivyo hivyo wasalimie 1Gb mchana na zingine ni za kuwangia kushusha muvee maana kile chenille cha "toboa tobo" hakipo tena
Ndo maana kumbe mateso kiasi hicho
 
Back
Top Bottom