Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Zantel wapo vzr 500 wanakupa Mb 500 wiki nzima.
1500 GB 1.5 plus dakika 160 kwenda mitandao yote
 
Ttcl pesa inazingua sasa hata option ya kununua bundle kwa T-pesa haipo Muda huu
Wameshatoa muongozo wako wanaifanyia kazi mkuu itarejea punde si punde jana vifurush kam tam tam vilikuwepo ila kuijiunga ilikuwa mtihani
 
Zantel wapo vzr 500 wanakupa Mb 500 wiki nzima.
1500 GB 1.5 plus dakika 160 kwenda mitandao yote
Wako vizur hao jamaa ila kwa huku mikoani haina ishu bora ttcl yani hata wakal hawapo huku mikoani
 
Wameshatoa muongozo wako wanaifanyia kazi mkuu itarejea punde si punde jana vifurush kam tam tam vilikuwepo ila kuijiunga ilikuwa mtihani
Tamtam nimeunga fast asubuhi nikadownload mzigo bundle likaisha kujaribu tena option ya kununua bundle wameitoa
 
Okay thanks, basi data plan ya Zantel si mbaya, wana 4G hawa?
Yeah, wana 4g tena coverage yao iko vizuri sana. Data plan uliangalia vifurushi tofauti naweza kusema wako zaidi ya wastani. Tangu nihamie huku tokea Airtel sidhani kama nimerudi nyuma, though Airtel imekuwa line mama kwa miaka mingi.
 
TTCL mngekua wajanja mngetokea kipindi hiki tafuten watu wawapogie promotion anzeni na wanachuo kisha mje na offer nzuri
 
Hiyo usiku kuanzia saa 6. Kifurushi cha 1500 leo unakinunua kwa 2500. Kweli tupo uchumi wa kati. Atakayelia ni mpiga dili na mvivu
Hapa kazi tu
GB 2 Tshs 2000/=;
GB 4 Tshs 1000/= ?

Kweli hawa ni TTCL , by the way ni kasi ya 4G au 0.25G
 
Back
Top Bottom