Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Naona Airtel wamerudi mstarini!
Screenshot_20210404-101838.jpg
 
4GB kwa buku harafu 10GB kwa buku mbili jero.
Waache utani basi, au ndo speed utajitafutia
Hivyo ni vifurushi vya wachawi wenyewe wanaita 'bandika bandua' 24hrs.
Hicho cha buku mchana wanakulimit 500mb tu na zinazobaki ni mpaka saa 6 usiku unakesha nazo na cha pili vivyo hivyo wanalimit 1Gb mchana na zingine ni za kuwangia kushusha muvee maana kile chenyewe cha "toboa tobo" hakipo tena
 
Back
Top Bottom