Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Njooni tigo nowape vya mwezi mzima kwa bei poa
773b915b811c4df48f941ecfc697601c.jpg
 
Kwangu TTCL huwa inateleza sana kwa maana ni 4G. Na ni mdau wa kutoboa kwa hiyo huwa nateleza inafika mpaka 5MB/sec.
 
Kwa network ipi!? Hao wakojoe wakalale tu
 
Back
Top Bottom