Nyumbani Kwanza:Top 3 ya Kikwetukwetu.....

Nyumbani Kwanza:Top 3 ya Kikwetukwetu.....

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
1-Kigodoro
Jina tu linajitosheleza kudescribe u-local wa movie......ni drama-comedy kind of movie iliyochezwa Uswazi starred by well known stars kama Mama Abdul,Hemed,Diana Kimario,Kajala,Salim a.k.a Gabo,Muhogo Mchungu,Bi.Staa n.k.. Ina mtiririko mzuri wa visa na ina maudhui mazuri na inafunza jamii 'lengwa' kuhusiana na madhara ya 'vigodoro'..

2.Gumzo
Starred by the King Himself....Majuto pamoja na Nisher akiwa sambamba na Hemed Phd...ni comedy like movie ambayo itakusprize kwa u-cartoon wa Hemedy,Visa vya Majuto na uchizi wa Nisher...

3.Mdundiko.
Hii ni local movie nyingine ambayo ipo kielimu zaidi kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii huku mkazo ukitiliwa kwenye ngoma ya kihuni iliyoingiza kijiji matatani kwa vitendo hasi....Starred bt Mzee Masinde,Biggie,Tino,Dokii,Kemi,Jengua,Swebe,Rado,Mc Kenyatta,Dino.....

NTAKASI,
NYUMBANI KWANZA!!
 
Hiyo yapili ni nzuri ila sijazipenda scene za Nisha she was too mucci yani mpk ukimuona unaona kabisa anaforce kuchekesha esp zile sehemu za kuimba imba tho scene nyingine kacheza vizuri. Scene nyingi nilizozipenda ni za Hemed na mkewe mbilikimo t waz too funny
 
Kuna KISATE, DANIJA, NGUVU YA IMANI ,NZOWA movie ya kwanza ya zamaradi
 
Hiyo yapili ni nzuri ila sijazipenda scene za Nisha she was too mucci yani mpk ukimuona unaona kabisa anaforce kuchekesha esp zile sehemu za kuimba imba tho scene nyingine kacheza vizuri. Scene nyingi nilizozipenda ni za Hemed na mkewe mbilikimo t waz too funny

Sometimes nisha anapatia ila anajichetua sana ,mbilikimo na Hemed walitisha na movie siyo kiwango kihivyo ukilinganisha na promo
 
movie kali hapo ni kigodoro...asee hiyo ni bonge la movie asee

ila gumzo....hapana.....nisha hakunifurahisha
 
Hiyo yapili ni nzuri ila sijazipenda scene za Nisha she was too mucci yani mpk ukimuona unaona kabisa anaforce kuchekesha esp zile sehemu za kuimba imba tho scene nyingine kacheza vizuri. Scene nyingi nilizozipenda ni za Hemed na mkewe mbilikimo t waz too funny

Yes...Hemedy na mkewe walinichekesha kwakweli.....Nisher overdid some things kweli....
 
nina hamu sana ya kuiona kigodoro,nilionyeshwa kipande tu,riyamma ali act vizuri sana,
 
movie kali hapo ni kigodoro...asee hiyo ni bonge la movie asee

ila gumzo....hapana.....nisha hakunifurahisha

Kigodoro ni habari ya mjini......Gumzo imebebwa zaidi na hemedy na mkewe...na jinsi Hemedi alivyoigiza kilocal..local bila u-brotherman wake ule....imeiletea interest movie...
 
wajua nimezipenda sana movies hizo coz zinaonyesha maisha halisi tunayoishi sie watanzania wengi, na siyo akina rey wanavyo-act na magar mazuuriii na maghorofa mixer vimini vya kina wema na uzungu mwingiii. Wakati maisha hayo wanayoishi kitakwimu hata 4% ya watanzania haifiki so zinakuwa hazitulengi sanaa zaidi inakuwa kiburudani.

Lakini hizo movies ulizotaja hapo nilikuwa naangalia kidogoro, nikamkubali sana zamaradi kuja na idea kama hiyo ambayo imeonyesha maisha yetu kabisaaa.
Huku kwetu birthday ya mtoto tu, kigodoro na baikoko juu na sasambu hadi unashangaa.
 
Back
Top Bottom