Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani

me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
 
Utoto kazi asee
 
🤣🤣🤣
Naimagine huo muonekano ulowafanya watu wakucheke badala ya kukuhurumia!
 
Utoto kazi asee
Dah! We acha tu Toto mol ilifika wakati ukikutwa unaangalia luninga tu msalaa maana zile actions zote za AKI NA UKWAA tulizimeza na kuzifanya in real life yani iyo siku ndio tulikula mikwaju ya kutosha baada ya kugundulika tulimfungia Chooni mjumbe wetu wa nyumba kumi enzi hizo milango ya Vyoo inamakomeo Yale ya kufuli nje sasa sisi tuliweka kijiti dah! tuliteseka na kwa mikwaju ilipogungulika ni sisi, kuna katoto ka kike kalituchongea kwa uyo mjumbe soo likafika kwa wazee kwenye kila familia basi wakatuweka mtu kati hahahaa ilikua ni mwendo wa fimbo wazee wanapokezana 😂😂😂
 
😀Nyie mlizidi
 
Ha ha haa,mlizidi daa
 
😂😂😂finyofinyo ni viwavi mkuu?
 
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
😂😂😂😂alitaka kukuua
 
Kuna nyuki flani wanakaa juu ya miti mirefu sana huku kwetu tunawaita "lemaati" aisee hawa jamaa ukila asali yao na ukasepa salama unabahati sana,kuna madogo waliwachokoza bahati mbaya kuna mama alikuwa anakata kuni hana habari walimshambulia hadi akakimbilia mtoni baada ya kuokolewa akawa anatapika asali na hajala hata tone, lakini hakukaa hata siku tatu akafariki licha ya kulazwa hospitali.
 
😂inahuzunisha ila nimecheka uliposema alitapika asali na hakula
 
Siyo wanaweza Bali wanaua,na walivyo maboya,akikuuma mmoja anaacha harufu inayovuta wengine,ndipo utapokutana na mauti uso kwa macho Kama hukimbilii utokako upepo
Nasikia wakikuotea wakajaa kinywani....ndo umekwisha
 
Uliponea chupuchupu kufa, umepata fundisho kuwa usiwe na papara. Pole, ila hata mimi ningekuona ningeangua kicheko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…