Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto kazi aseeKwa kweli hapo enzi hizo nyumbani angali tukiwa machalii basi tulikua na kijitabia flan hivi mimi na wenzangu wawili tukitoka shule kurudi nyumbani tunakutana kituoni na kuongozana basi tukiwa njiani tulikua na visanga vingi sana tunavifanya moja wapo ilikua kuchezea kengele za watu kwenye nyumba zao, Sasa kulikua na nyumba moja bwana aah! hiyo tuliipenda kuionea sana yani kila tukifika hapo ilikua lazima tuibofye kengele tena zamu kwa zamu, Ila siku moja ilikua bahati mbaya yetu hatukujua kumbe wenyewe walikua wamefungulia mbwa bwana dah! Ilikua hatari ile rafiki yangu kabofya tu weeeh! Kifaa hichi hapa mbele yetu halafu alikua ni German Shepherd 🐺 hahahaa 😂😂😂 hapo kila mmoja na njia yake nakumbuka nilifika nyumbani nikiwa vumbi mtu huku nimeshikilia mkono wa kushoto ukiwa umeteguka lakini haikutosha kuwa sababu kwa mama kunielewa haraka kwakua nilikua mtundu sana nilichezea kichapo kisha ndio nikapelekwa hospitali baada ya siku tatu nakuja kuonana na jamaa zangu ilikua nivicheko tuu maana mwenzetu mmoja alitumbukia kwenye shimo la taka na kuchanwa na chupa mguuni..
Dah! We acha tu Toto mol ilifika wakati ukikutwa unaangalia luninga tu msalaa maana zile actions zote za AKI NA UKWAA tulizimeza na kuzifanya in real life yani iyo siku ndio tulikula mikwaju ya kutosha baada ya kugundulika tulimfungia Chooni mjumbe wetu wa nyumba kumi enzi hizo milango ya Vyoo inamakomeo Yale ya kufuli nje sasa sisi tuliweka kijiti dah! tuliteseka na kwa mikwaju ilipogungulika ni sisi, kuna katoto ka kike kalituchongea kwa uyo mjumbe soo likafika kwa wazee kwenye kila familia basi wakatuweka mtu kati hahahaa ilikua ni mwendo wa fimbo wazee wanapokezana 😂😂😂Utoto kazi asee
😀Nyie mlizidiKwa kweli hapo enzi hizo nyumbani angali tukiwa machalii basi tulikua na kijitabia flan hivi mimi na wenzangu wawili tukitoka shule kurudi nyumbani tunakutana kituoni na kuongozana basi tukiwa njiani tulikua na visanga vingi sana tunavifanya moja wapo ilikua kuchezea kengele za watu kwenye nyumba zao, Sasa kulikua na nyumba moja bwana aah! hiyo tuliipenda kuionea sana yani kila tukifika hapo ilikua lazima tuibofye kengele tena zamu kwa zamu, Ila siku moja ilikua bahati mbaya yetu hatukujua kumbe wenyewe walikua wamefungulia mbwa bwana dah! Ilikua hatari ile rafiki yangu kabofya tu weeeh! Kifaa hichi hapa mbele yetu halafu alikua ni German Shepherd 🐺 hahahaa 😂😂😂 hapo kila mmoja na njia yake nakumbuka nilifika nyumbani nikiwa vumbi mtu huku nimeshikilia mkono wa kushoto ukiwa umeteguka lakini haikutosha kuwa sababu kwa mama kunielewa haraka kwakua nilikua mtundu sana nilichezea kichapo kisha ndio nikapelekwa hospitali baada ya siku tatu nakuja kuonana na jamaa zangu ilikua nivicheko tuu maana mwenzetu mmoja alitumbukia kwenye shimo la taka na kuchanwa na chupa mguuni..
Ha ha haa,mlizidi daaKwa kweli hapo enzi hizo nyumbani angali tukiwa machalii basi tulikua na kijitabia flan hivi mimi na wenzangu wawili tukitoka shule kurudi nyumbani tunakutana kituoni na kuongozana basi tukiwa njiani tulikua na visanga vingi sana tunavifanya moja wapo ilikua kuchezea kengele za watu kwenye nyumba zao, Sasa kulikua na nyumba moja bwana aah! hiyo tuliipenda kuionea sana yani kila tukifika hapo ilikua lazima tuibofye kengele tena zamu kwa zamu, Ila siku moja ilikua bahati mbaya yetu hatukujua kumbe wenyewe walikua wamefungulia mbwa bwana dah! Ilikua hatari ile rafiki yangu kabofya tu weeeh! Kifaa hichi hapa mbele yetu halafu alikua ni German Shepherd 🐺 hahahaa 😂😂😂 hapo kila mmoja na njia yake nakumbuka nilifika nyumbani nikiwa vumbi mtu huku nimeshikilia mkono wa kushoto ukiwa umeteguka lakini haikutosha kuwa sababu kwa mama kunielewa haraka kwakua nilikua mtundu sana nilichezea kichapo kisha ndio nikapelekwa hospitali baada ya siku tatu nakuja kuonana na jamaa zangu ilikua nivicheko tuu maana mwenzetu mmoja alitumbukia kwenye shimo la taka na kuchanwa na chupa mguuni..
😂😂😂finyofinyo ni viwavi mkuu?Nyumbani ni Nyumbani, nakumbuka sisi tukifanya zali au tukio lolote likitokea ni nduki hadi home, hakuna kuuliza, kuna siku nimepanda mti wa zambarau kumbe juu kuna finyofinyo, alooo niliwashwa breki ya kwanza home sielewi moja kwa moja bafuni najisungua naskia mwili unawaka moto balaa😂😅
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
me nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
😂😂😂😂alitaka kukuuame nilikuwa nadaka kwa mdomo matone ya asali yalikuwa yanadondoka kutoka juu kwenye mzinga utamu ukawa unafanya hadi nafunga macho mwanangu mmoja anaitwa Bariki akatikisa tawi la mti kufungua macho mzinga huooo usoni.
😂inahuzunisha ila nimecheka uliposema alitapika asali na hakulaKuna nyuki flani wanakaa juu ya miti mirefu sana huku kwetu tunawaita "lemaati" aisee hawa jamaa ukila asali yao na ukasepa salama unabahati sana,kuna madogo waliwachokoza bahati mbaya kuna mama alikuwa anakata kuni hana habari walimshambulia hadi akakimbilia mtoni baada ya kuokolewa akawa anatapika asali na hajala hata tone, lakini hakukaa hata siku tatu akafariki licha ya kulazwa hospitali.
Siyo wanaweza Bali wanaua,na walivyo maboya,akikuuma mmoja anaacha harufu inayovuta wengine,ndipo utapokutana na mauti uso kwa macho Kama hukimbilii utokako upepoNyuki wanaweza kuua
Hawahitaji kujaa kinywani,wanakuuma tu mwilini,Wana harufu flan hv wanakuachia,inavuta wengine,ile sumu ikizidi inakuuaNasikia wakikuotea wakajaa kinywani....ndo umekwisha