Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nimeishi Mafia miaka 2 Pale Kilindoni nilikuwa nakaa Lizu Hotel

Ni Hotel ya Dada wa kichaga au Ki arusha kazaa na Mhindi
 
Duh umenikumbusha Ibiza Lodge, vipi bado ipo?
 
Sijui nimechelewa kujua maana jina mafia, huwa nalisikia nikijua ni sehemu ya zanzibar, nikaenda kwa mwalimu google nikaona kuna latham, lamu na mafia kimipaka vipo bara?

Vipi utamaduni ni wa bara kweli au ni wa zanzibar??

Am very interested to be there in December na wifi yenu(kwa kina dada)..
 
Bara tu
 
Ni sehemu ya Tanganyika ile. Wapo Wadengereko wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…