Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Huyo
FB_IMG_16050295177318079.jpg
 
Mafia hiyo atakae aje gharama ni ndogo tu
FB_IMG_16052851644345388.jpg
FB_IMG_16052851569831788.jpg
FB_IMG_16052850825469776.jpg
 
Wazanzibari tukipata uhuru wetu tunaondoka na Mafia. Chini ya mamlaka ya Zanzibar mafia itajaa watalii
 
Chief; Nipo ughaibuni tunaokoteza maisha huku; September ndio huwa narudi Bongo; Sidhani kama naweza mudu Flight za watu 4; So ningependa kufahamu gharama za Meli/Boat; Ambayo atleast hiyo namudu kabisa; Ili niende na madogo wangu huko kabla sijawapeleka kwa babu yao.
Kuna Meli za uhakika (Uhakika i mean kama Zanzibar, transport ni valid na Uhakika kwa sehemu kubwa)

Nikifahamu haya utanisaidia kuji-schedule
1. Hiyo Transport gani inatumika (Jahazi au Official Boats kamz za Azam fast ferries)
2. Kama ni Boat zinapatikana wapi kutokea Dar es Salaam.
3. Cost za Transport from and to na Lodge ni kiasi gani Average?

Natangulisha shukrani Chief
 
Kutokea dar unapanda gari maeneo ya mbagara nauri 5500 mpaka nyamisati ukufika nyamisati ndio unapanda kivuko mpaka mafia ambacho nauil mpaka mafia 16000
FB_IMG_16122045779944768.jpg
 
Back
Top Bottom