Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Tumeamua tutaiacha apo ilipo ili tterritorial waters zetu iwe kubwa
Na siku mukijitoa kwenye muungano, mali za ndugu zenu zilizopo huku Tanganyika tutazipora. Na wataludi kwenye hivyo vibakuri vyenu wakiwa na masanduku ya nguo.
 
FB_IMG_15988738451893320.jpg
Naambiwa huu mnara ulijengwa na wajerumani more than 100 years ago, una taa inawaka hapo juu mpaka leo, haifahamiki waliweka battery ya aina gani na mnara unatumika kwa shughuli gani
 
Na siku mukijitoa kwenye muungano, mali za ndugu zenu zilizopo huku Tanganyika tutazipora. Na wataludi kwenye hivyo vibakuri vyenu wakiwa na masanduku ya nguo.
Si tatizo hilo ata Zimbabwe waliwapora weupe mashamba wakayachukua wao, kilichotokea kinajulikana.
 
Naambiwa huu mnara ulijengwa na wajerumani more than 100 years ago, una taa inawaka hapo juu mpaka leo, haifahamiki waliweka battery ya aina gani na mnara unatumika kwa shughuli gani
Huu hutumika na meri kubwa zinazoelekea south afrika ni alama moja wapo pia haupo mbali na mji uliozama baharini wenye Mali nyingi ukisikia mji ulozama bahari pia zipo nyingi ndio upo karibu na mnara huo watu hushindwa kwenda kwakuwa vifaa duni ila wazungu wanaenda sana tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana Mkuu, je unamilikiwa na nani na je sisi kama taifa tunanufaika nao kwa namna yoyote?
 
Back
Top Bottom