chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,183
- 2,871
- Thread starter
- #361
Sijakuelewa mkuu nielewesheChongoe, unaweza kuelezea zaidi juu ya huo njiani?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa mkuu nielewesheChongoe, unaweza kuelezea zaidi juu ya huo njiani?
Nitarudi tena..natumaini mabadiliko ni makubwa.
😃 Sorry brother. Nilikua nimemaanisha juu ya ule mji uliozama
Nlidhani hili linatokea mimi tu kumbe tupo aisee mi juzi tu nimekula wetdreams we acha tuWengine tukila samaki inakuwa kama power bank, mwili unawaka moto, ikipita sketi yaani ni taabu 🙃🙃🙃
Mkuu samahani kama hutojali gharama kufika huko ni kiasi gani na pia cost za kustay kama siku 4 adi wiki ni kiasi gani kwa mdao uo nataka nije nipumzishe fuvu uko mara moja
Mkuu chongo, habari yako; Hukunipa tena Bei ya Guest/lodge za kawaida kwa mtanzania wa Kati; Incase nikija huko.Bure mkuu utalipia kama ada tu ya serikali ndogo
Kutokea dar mpka huku elfu ishirini na moja unapanda gari mbagara nauli 5500 mpka nyamisati ukifika nyamisati unapanda kivuko kinakuleta mpaka mafiaMkuu samahani kama hutojali gharama kufika huko ni kiasi gani na pia cost za kustay kama siku 4 adi wiki ni kiasi gani kwa mdao uo nataka nije nipumzishe fuvu uko mara moja
Gest za kawaida 8000 kwa siku ila mabanda yanayoitwa hoteli 22000Mkuu chongo, habari yako; Hukunipa tena Bei ya Guest/lodge za kawaida kwa mtanzania wa Kati; Incase nikija huko.
Vipi kuhusu sehemu za malazi mkuu sehemu ya bei ya kitanzania na vizuri ikiwa na swimming pool ndani ama sio lazima ila bei zake kwa sikuKutokea dar mpka huku elfu ishirini na moja unapanda gari mbagara nauli 5500 mpka nyamisati ukifika nyamisati unapanda kivuko kinakuleta mpaka mafia View attachment 1733457View attachment 1733458
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Gest za kawaida 8000 kwa siku ila mabanda yanayoitwa hoteli 22000
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
PAZURIMkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani
View attachment 1554182View attachment 1554183View attachment 1554184View attachment 1554186View attachment 1554188View attachment 1554189View attachment 1554190View attachment 1554191View attachment 1554192View attachment 1554193View attachment 1554195View attachment 1554196View attachment 1554197View attachment 1554198
[
Mkuu hukunijibu swali languHaya haya njooeniView attachment 1738170View attachment 1738171View attachment 1738172
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Gharama ya kusafirisha gari ndogo kwa kivuko ni kiasi gani?Kutokea dar mpka huku elfu ishirini na moja unapanda gari mbagara nauli 5500 mpka nyamisati ukifika nyamisati unapanda kivuko kinakuleta mpaka mafia View attachment 1733457View attachment 1733458
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app