Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Hongera...
Ahsante ndio maana nikawa nuliza maana dah mimi mpaka najishangaa.
Last year nimesota mtaani since june sina deal sina 10 watoto shule za kulipia na maisha mengine yanatakiwa yaende.Sion mbele sion nyuma ila waaapii nipo nipo tuu....mpaka nakuja ku settle this february 😆😆😆😆

Ndio nikauliza hiz stress zenu vp?
Au kuna stress za kupanda na kushuka kama presha 😂
 
Hapo
FB_IMG_16157498237940706.jpg
FB_IMG_16159592950188040.jpg

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2009 nimekaa huko wiki mzima,kwa kweli nilifurahia sana na hayo maeneo yote ya kwenye picha nilifika. Nitakuja tena shemeji yangu Chongoe(hako ka wiki nilipata chotara wa kiarabu)
Vipi hicho kivuko cha serikali nasikia kimeanza kàzi?
 
Mkuu umenikumbusha slogan ya BRN,ilikuwa awamu gani tena? Sisiumu wana mambo.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Huu hutumika na meri kubwa zinazoelekea south afrika ni alama moja wapo pia haupo mbali na mji uliozama baharini wenye Mali nyingi ukisikia mji ulozama bahari pia zipo nyingi ndio upo karibu na mnara huo watu hushindwa kwenda kwakuwa vifaa duni ila wazungu wanaenda sana tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Chongoe, unaweza kuelezea zaidi juu ya huo njiani?
 
Mwaka 2009 nimekaa huko wiki mzima,kwa kweli nilifurahia sana na hayo maeneo yote ya kwenye picha nilifika. Nitakuja tena shemeji yangu Chongoe(hako ka wiki nilipata chotara wa kiarabu)
Vipi hicho kivuko cha serikali nasikia kimeanza kàzi?
Tayari kimeanza kazi nauli 16000

Back
Top Bottom