Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU...
Paradise
 
Dah! Mkuu umenikumbusha kitambo wrong number iliweza nifikisha Mafia aisee mpaka Sasa imebaki story.
 
chongoe nikiwa na mtaji wa laki 5 au milioni moja naweza kufanya biashara gani hapo Mafia? Gharama za vyumba vya kupanga mtaani ni sh.ngapi?
 
Tanzania ni nchi nzuri sana na tajiri sana, ina rasilimali maliza kutosha, RIP mwamba, jiwe, mzalendo haswa Magu! Bado machozi yanatutoka tukikumbuka, miaka yako 5 ni sawa na miaka 50!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…