Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Mafia mjini Kilondoni
Serikali ya CCM haijali kabisa
Kwa nature ya Mafia ilivyo ilipaswa kuwa sehemu inayoyiingia pesa kwa utalii lakin waaaapi
 
Dash ni pazuri, nashauri Tundu Lisu akimaliza kampeni Na kupata kura laki 3 akapumzike huko tu maana atarajie kipigo cha mbwa koko kwny sunduku la kura.
 
Naskia Mafia kuna malaya kama wote. Twendeni Mafia!!
 
Vipi naweza kununua kiwanja huko au kuna changamoto gani?
 
Mkuu naona umejaza mapichapicha tu.

Ungetueleza japo kwa uchache;

»mtu anafikaje huko
»nauli zipoje
»makazi yakoje mtu akifika huko
»muda mzuri wa kwenda ni upi
»fursa zilizopo n.k

BTW kuna mtu aliuliza kwanini Mafia haipo Zanzibar?
 
saaiv najua madili yote ya uchaguz na kampen hayachez mbali na ww[emoji28][emoji28]

don mrangi mission town long time kitambo hapa mjiniii

Sent using Jamii Forums mobile app
Namvizia tarimb lazima Nile Hela zake
Kna diwan mmja Kino zamani sanaaa nshamuweka
Sawa, Ngj nrudi mjini kitaeleweka

Ova
 
Mi mtu wa Mafia hunifurahisha na lafudhi yao fulani hivi kama wanadeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…