Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Sana Kuna wakati tuliendaga Lamu, Kenya na mchina wangu mmja yeye alikuwa na ofisi Kino hombos kule, tulikaa kama wiki 3 ah akaniambia Sasa
Unaonaje twende tu somalia..... Maana hko kna Mapezi mengi ya papa.... Dah nkamwambia hko tukienda haturudi..... Haya Maisha acha tu kma sinema tu

Ova
Baharia ukaogopa kuingia kwa wasomalia
 
... Miss Natafuta hahahah tusharudisha na kuzidisha kwa kufuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani

View attachment 1554182View attachment 1554183View attachment 1554184View attachment 1554186View attachment 1554188View attachment 1554189View attachment 1554190View attachment 1554191View attachment 1554192View attachment 1554193View attachment 1554195View attachment 1554196View attachment 1554197View attachment 1554198
[
Nipo Simiyu
Sasa bariadi au lamadi na mayote wapi na wapi?, Wewe baki huko uchunge ng'ombe tu
 
Back
Top Bottom