Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani

View attachment 1554182View attachment 1554183View attachment 1554184View attachment 1554186View attachment 1554188View attachment 1554189View attachment 1554190View attachment 1554191View attachment 1554192View attachment 1554193View attachment 1554195View attachment 1554196View attachment 1554197View attachment 1554198
[
Hongera Sana kwa kuutangaza utalii wa Mafia
 
Tofautisheni kati zanzibar na mafi japo nchi moja
 
Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani

View attachment 1554182View attachment 1554183View attachment 1554184View attachment 1554186View attachment 1554188View attachment 1554189View attachment 1554190View attachment 1554191View attachment 1554192View attachment 1554193View attachment 1554195View attachment 1554196View attachment 1554197View attachment 1554198
[

Hamnaga mitaa mbona kutwa kutuonesha mapori na bahari mbona mtaani hauoneshi
 
Back
Top Bottom