Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

Watu wazima na akili zao wako busy kutoa tuhuma na kulalamika kwa maneno ya kusikia. Inasemekana inasemekana. Thibitisha kwanza ndio ulete hapa, mambo ya kufanya ni mengi.​
 
Hii kama ni kweli ni dharau kwa mahakama na utawala wa sheria...
 
Kwani ile si ilikuwa drama . Kuna movie yoyote mtu anafungwa kweli au anakufa kweli kweli?
CCM watawachezesha drama Watanzania miaka nenda rudi
 
Hiyo ni uhakika ni yeye ameingia hapa mtaani tangia juzi na Leo ameonekana neio maana nikaleta huu Uzi na najua utafutwa
Wewe unakaa mtaa gani? Fafanua tujue huo mtaa tukafatilie usituletee ngonjera hapa.
 
Picha sio muhimu ,cha msingi yupo uraiani
 
Niliwaambia mkanitukana kwamba sijui sheria
 
Mpige picha kwa siri utume humu
 
Ameshakanyaga huyo mmoja ambaye alikua maarufu sana ni jirani yetu huku ngoja nikipata kukutana nae tena nitampiga picha Ili umuone vizuri
Usisubiri kukutana naye, maana anaweza kujificha, piga picha nyumba anayoishi ili tuamini kuwa mnakaa majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…