Nyuzi 3 ninazozichukia hapa JF

Nyuzi 3 ninazozichukia hapa JF

Mkuu, pendezo na chukizo ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu. Hata hivyo ni rahisi na imekubalika kusema "nakupenda", lakini "nakuchukia" ni neno lenye "UKAKASI". Kuchukizwa na kupendezwa na chochote ndani ya jamiiforums ndiyo kukubalika kwa jamiiforums. Maana imesemwa "ukiona unapendwa na wote, basi jua una mapungufu" Chamsingi ambacho wewe na wengine unapaswa ujue ni kwamba ndani ya jamii forums kuna "hard talk" kama za bungeni, pia kuna namna furani ya watu wanasaidia nchi kutambua mapungufu na wizi serikalini. Vinginevyo baada ya yote hayo mwanadamu anahitaji mapumziko. Jukwaa la michezo, chit chat, na MMU. ni sehemu salama ambapo kila memba atachagua kupumzika.
 
4.Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (kubet) karibuni tubashiri matokeo ya mechi za leo
5.Battle: Nairobi v/s Dar es Salaam

Hivi nauliza hakuna namna ya kufanha individual settings kuondoa nyuzi ambazo mtumiaji wa jukwaa hazipendi??
 
Sasa mkuu badala ya kudiscuss mustakabadhi wa nchi yetu tunadiscuss namna ya kupeana likes au wa mwisho ndo mshindi??![emoji32][emoji32][emoji32].......hii ni haki kweli???
Kila jukwaa limeundwa kwa kazi maalum.

Ni hiari ya mtu kufanya anachokitaka jukwaa husika bila kuvunja sheria za JF
 
4.Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (kubet) karibuni tubashiri matokeo ya mechi za leo
5.Battle: Nairobi v/s Dar es Salaam

Hivi nauliza hakuna namna ya kufanha individual settings kuondoa nyuzi ambazo mtumiaji wa jukwaa hazipendi??
Swali zuri sana mkuu inabidi Moderator atwambie kama inawezekana
 
Mkuu, pendezo na chukizo ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu. Hata hivyo ni rahisi na imekubalika kusema "nakupenda", lakini "nakuchukia" ni neno lenye "UKAKASI". Kuchukizwa na kupendezwa na chochote ndani ya jamiiforums ndiyo kukubalika kwa jamiiforums. Maana imesemwa "ukiona unapendwa na wote, basi jua una mapungufu" Chamsingi ambacho wewe na wengine unapaswa ujue ni kwamba ndani ya jamii forums kuna "hard talk" kama za bungeni, pia kuna namna furani ya watu wanasaidia nchi kutambua mapungufu na wizi serikalini. Vinginevyo baada ya yote hayo mwanadamu anahitaji mapumziko. Jukwaa la michezo, chit chat, na MMU. ni sehemu salama ambapo kila memba atachagua kupumzika.
Well said mkuu
 
....huo #2 siujui,
...ila huo #3 ni balaa;
..umeufunika hata wa Makapuku
.ndani ya muda mfupi kishenzi!
 
1. Makapuku Forum
2. Wamwisho ndiyo mshindi
3. Uzi wa kupeana likes
4.......ongeza wakwako.
Hiyo ya tatu naipenda ila hizo mbili za mwanzo nazichukia mbaya, hasa Wa mwisho ndio mshindi..
Kinachonikera zaidi wenyewe ndio wa kwanza kutokezea, sijui nawezaje kuzihide nisizione mazimaa!!????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ujue hivi kama hauzipendi unalazimishwa kuzifungua na asipoangalia anaweza kukufwa kidogo kidogo
Anatuharibia nyuzi zetu huyo.

Ni wa kumpuuza tu
 
Back
Top Bottom