moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Chuki ni Ugonjwa mbaya saana, huwa unakausha mtu kidogoo kidogoo na hatimaye mtu hufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Chuki ni Ugonjwa mbaya saana, huwa unakausha mtu kidogoo kidogoo na hatimaye mtu hufa
Huu pia unakera sanaKuna ule wa wazee wenzangu wa kuweka mzigo,naukubali sana,kila weekend lazima niupitie!
Kila jukwaa limeundwa kwa kazi maalum.Sasa mkuu badala ya kudiscuss mustakabadhi wa nchi yetu tunadiscuss namna ya kupeana likes au wa mwisho ndo mshindi??![emoji32][emoji32][emoji32].......hii ni haki kweli???
Mkuu tutake radhiHuu pia unakera sana
Swali zuri sana mkuu inabidi Moderator atwambie kama inawezekana4.Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (kubet) karibuni tubashiri matokeo ya mechi za leo
5.Battle: Nairobi v/s Dar es Salaam
Hivi nauliza hakuna namna ya kufanha individual settings kuondoa nyuzi ambazo mtumiaji wa jukwaa hazipendi??
kapuku nipo hapa namchora tu!hao Makapuku watakuja hapa kukushukia kama mwewe
dada wa likes lazima ufike kwenye uzi kama huu.. ebu chukua likes zakoKula likesssssssss.
Post chochote kasoro matusi au picha chafu upate likessssssssss
Toa upewe likessssssssssss
Well said mkuuMkuu, pendezo na chukizo ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu. Hata hivyo ni rahisi na imekubalika kusema "nakupenda", lakini "nakuchukia" ni neno lenye "UKAKASI". Kuchukizwa na kupendezwa na chochote ndani ya jamiiforums ndiyo kukubalika kwa jamiiforums. Maana imesemwa "ukiona unapendwa na wote, basi jua una mapungufu" Chamsingi ambacho wewe na wengine unapaswa ujue ni kwamba ndani ya jamii forums kuna "hard talk" kama za bungeni, pia kuna namna furani ya watu wanasaidia nchi kutambua mapungufu na wizi serikalini. Vinginevyo baada ya yote hayo mwanadamu anahitaji mapumziko. Jukwaa la michezo, chit chat, na MMU. ni sehemu salama ambapo kila memba atachagua kupumzika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ujue hivi kama hauzipendi unalazimishwa kuzifungua na asipoangalia anaweza kukufwa kidogo kidogoChuki ni Ugonjwa mbaya saana, huwa unakausha mtu kidogoo kidogoo na hatimaye mtu hufa
Kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ujue hivi kama hauzipendi unalazimishwa kuzifungua na asipoangalia anaweza kukufwa kidogo kidogo
Hiyo ya tatu naipenda ila hizo mbili za mwanzo nazichukia mbaya, hasa Wa mwisho ndio mshindi..1. Makapuku Forum
2. Wamwisho ndiyo mshindi
3. Uzi wa kupeana likes
4.......ongeza wakwako.
Utakula "LIKES" nyingi hadi ushangae....huo #2 siujui,
...ila huo #3 ni balaa;
..umeufunika hata wa Makapuku
.ndani ya muda mfupi kishenzi!
Anatuharibia nyuzi zetu huyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ujue hivi kama hauzipendi unalazimishwa kuzifungua na asipoangalia anaweza kukufwa kidogo kidogo
Vipi kapuku nakuonaga sana kulesio lazima uwe unazipitia mkuu kuna majukwaa mengi sana jf, sio chitchat peke yake kama hizo zinakukera soma nyengine mkuu
kuko poa ile kwangu ni familyVipi kapuku nakuonaga sana kule