Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hata mimi nashindwaga kuelewa kabisa, lengo hasa la hawa wadada kufanana na wazungu ni lipi? ilhali sisi wanaume wao ni weusi na tunajua kabisa tunaishi na wanawake weusi. Nadhani kunyimwa akili kwa mtu mweusi ndio tatizo kubwa la haya yote, tungekuwa na akili ya kujitambua hakika tungejivunia tulivyo, mbona wao wazungu hawasokoti rasta?
Haaa haaa sawa , Mkuu.
Sasa hawa wa nywele tuwasaidieje ili wabadilike aisee?, kisha tutakuja kwa hao wa kujichubua
Wazungu wenyewe wanasgonea weaving. Nilishangaa sana
hilo nalo neno....tena zito kwelii!🙂Inferiority. Madhara ya ukoloni. Tumewachukulia wazungu na watu weupe kuwa ndo benchmark yetu. Ndo maana watu wanajichubua, wanatumia nywele za bandia, wanahangaikia shapes mpaka kwa mchina.... Wabantu wenzangu, Mungu hakutuumba kimakosa.... Tuko vizuri hivi hivi tulivyo
kampuni ninapofanya kazi kuna wanawake watatu na wote wana mawigi. usipende kubishabisha.Hiyo percent ya 95 umeipata wapi?, hata ukiangalia kiuhalisia sio kweli