Familia yangu ya kawaida tu ila haina ushamba wa kuiga vitu vya magharibi.
Mwarubaini wa hili swala ni kuwapo na mapinduzi ya kifikra.kufanyike kampeni endelevu ya kujifunza,kuzienzi na kuzipenda tamaduni,mila na asili yetu(zile mila nzuri tu).Viongozi,Wasanii wetu na watu wenye majina na heshima katika jamii wawe wakwanza kuonyesha kwa vitendo kuenzi tamaduni zetu.
Nywele zozote zikitunzwa vizuri bila hata kuziwekea kemikali ama viunganishi bandia hupendeza na kuvutia.tuwape moyo na kuwafunza wanetu,wake zetu na dada zetu wazitunze na kuzibakisha nywele zao katika asili yake.
[/QUOTE

Nimependa hayo maelezo yako. asante.