Hiii ilianza toka enzi ya mkoloni ,thumuni lake ilikuwa kumtawala muafrika katika kila hali, kiuchumi , kiiimani, kielemu na kisiasa, hivyo walianzisha mipamngo mbali mbali ambayo walipandikisha kwa waafrika na wao wakapokea kama walivyo pandikozwa nawakoloni, ndiomaana hata leo dini za kiafrika zinaitwa imani potovu ili hali dini za wageni ni dini halali nk,
Assimilation policy iliyoletwa na wafarasa ndio ilikuwa ikiwabadili waafrika hadi kwenye muonekano wa mavazi kutembea na hapo ndio mfumo wa waafrika kubadili hadi uhalisia wa nywele zao vipili pili na kuweka dawa ziwe kama wazungi, kwa wanawake na wanaume walikuwa na style fulani yakuchana nywele zao kwakuacha njia pembeni ya kichwa (way)
Basi mambo ndio yameendelea hapo hadi leo tunaishi katika mfumo wa mkoloni japo tunapata elimu mahuleni juu ya kuporomoka kwa utamaduni wa uafrika wetu lakini chakushangaza elimu tunayopata ndio kabisa tunakimbilia kwenye tamaduni za watu weupe...