Nywele bandia: Je ni mvuto, au kudharau uafrika?

Nywele bandia: Je ni mvuto, au kudharau uafrika?

Mi mama toka mdogo ananiambia asilimia 90 wanawake wakijiremba wanajiremba kwa ajili ya kwake mwenyewe sio kwa ajili ya mtu..ndo walivoumbwa kwaiyo huo urembo wao haukuhusu
sawa, ila urembo wa nywele za mzungu, mchina na sijui brazilian hair , je hakuna ya kiafrika jamani hapa kwetu?
 
Kwa Tanganyika wanawake wengi wanvaa mawigi Kuficha vichogo.
 
Mbona utamaduni wenu , imani zenu umeziacha na kufuata za kwao ?? Huu nao si ulimbukeni ?
 
Mbona utamaduni wenu , imani zenu umeziacha na kufuata za kwao ?? Huu nao si ulimbukeni ?
heeee heeeee umekumbusha mada nyingine aiseee, tutafika huko subiri kwanza tumalize hii aisee
 
Yapu, ila wanavaaa ya kiafrika aisee hao wazungu au ya kufanana na nywele zao ndefu na laini?
Wanavaa ndefu, wanachobadili ni colours
au wenye vipara wanaume wanaficha vipara vyao
Sasa sie huku limbukeni tunakoroga mungwele kila kona na bila hata kujjua tawafanya nini
 
Wanavaa ndefu, wanachobadili ni colours
au wenye vipara wanaume wanaficha vipara vyao
Sasa sie huku limbukeni tunakoroga mungwele kila kona na bila hata kujjua tawafanya nini
Haaa haaa sawa mkuu , Ila ningependa kujua jina lako kama halijatoka kwao ...
 
je wanweza kubadilika ama tutumie njia ipi kuwasaidia ?
Kubadilika itakuwa ni vigumu huwezi kumwambia mwanamke mwenye upara asivae wigi ni sawa na kumwambia mwanaume usichepuke. Na kwa hawa masharobaro wao umri ukifika 30 watawacha wenyewe tu.
 
kvIpzexvQSz164OrXSAQ_Ostrich%20Wig%20Snatch.gif

EqbcyJwQ16BTq9iOZ3yg_Talk%20Show%20Weave%20Snatch.gif

mkuu Poise reason ni kipara na uchogo

  • Thanks
Reactions: kui
Halafu mna discuss kabsa eti mfanyaje kuondoa hii, nini chawawasha?

Kwani tumesema hatuwezi jizuia au kuacha?
Kama tunavaa it means tunapenda.

Kama ni vichwa si vyetu!
Mtuwache na wig zetu na zazuu zetu!
 
Halafu mna discuss kabsa eti mfanyaje kuondoa hii, nini chawawasha?

Kwani tumesema hatuwezi jizuia au kuacha?
Kama tunavaa it means tunapenda.

Kama ni vichwa si vyetu!
Mtuwache na wig zetu na zazuu zetu!
Teh nilikuwa nakusubiri kwa hamu. Wanagusaje maslahi yako eti
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom