LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Hizi biashara za kuongeza nywele ziko zaidi mbele kuliko hata hapa,nywele wengine wana matatizo nywele chache,hazikui,zinakatika nk Kwahyo mtu anajazia na extensions,
Bongo tatzo aina ya nywele baadhi ya watumiaji wanaweka haziendani na nywele zao,wengi wetu tuna texture flani ya nywele ngumu hivo kuna maweaving ya kuendana na African hair lakini watu hawataki wanakomaa na kama yale ya wazungu yaliyo laini sana
MI mteja wa extension naongeza urefu and hazitofautiani na nywele yangu,pipo think nna nywele ndefuuu, mana nywele bila extension bana unasukaa wee miaka hazifikii urefu unaotaka
Baadhi ya watu wamejaliwa ndefu bila struggle
Wadada tu wajitahidi kuweka aina zinazoendana na wao,na zikiwa ndeeefu sana ts obvious u look fake hence mi naona hupendezi,enewei