Nywele za bandia kwa wababa wenye vipara

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia.

Kazi kwenu.
Screenshot_20220108-070622_Chrome.jpg
 
Bora nibakie na upaa wangu kwanza watu wameshanizoea. Mambo ya supagluu noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Kibaya ujeusutukiwe umeingia kambi ya wenyewe......utaibandua supa gruu kwa moto. Hakuna kucheana kule!
 
Back
Top Bottom