Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia.
Kazi kwenu.
Kazi kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo upara kafanana na MwendazakeTayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia.
Kazi kwenu.
View attachment 2072853
Hahha hahahaHuo upara kafanana na Mwendazake
Unagandisha na supa gluuUkipanda boda ule upepo zitabaki
Bora nibakie na upaa wangu kwanza watu wameshanizoea. Mambo ya supagluu noma[emoji23][emoji23][emoji23]Unagandisha na supa gluu
Kweli aiseeBora nibakie na upaa wangu kwanza watu wameshanizoea. Mambo ya supagluu noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Makubwa!Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia.
Kazi kwenu.
View attachment 2072853
Na hili joto la jijini watakua wanazivua nao eti wapunge upepo😂😂Muda si mrefu tutaanza kuona kina baba nao wanajipiga piga kichwani kwenye vituo vya daladala
Kibaya ujeusutukiwe umeingia kambi ya wenyewe......utaibandua supa gruu kwa moto. Hakuna kucheana kule!Bora nibakie na upaa wangu kwanza watu wameshanizoea. Mambo ya supagluu noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Kibaya ujeusutukiwe umeingia kambi ya wenyewe......utaibandua supa gruu kwa moto. Hakuna kucheana kule!Bora nibakie na upaa wangu kwanza watu wameshanizoea. Mambo ya supagluu noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Si kama mnavyovua chupi wote au sidiria na best. Hakuna ishu.mkitaka kulala baba na mama wote mnavua mawigi....