Ni tabia ya uchafu mliyonayo dada /wake zetu. Kama mtu kaweza kusukia kwa sh.50000 kwa nini ashindwe kuosha kwa sh.5000?Hizo nywele zikisukiwa unaweza kuosha kila wiki. Ni tabia tu, au na kubania jela ya saluni? Acheni ubahili muwezeshe mabbebbzzz
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake. Anashonea/kusukia hayo manywele na ataishi nayo kwa miezi...no water no nothing eksee! Amesuka miezi miwili...aaaah! So disgusting!!
Ni tabia ya uchafu mliyonayo dada /wake zetu. Kama mtu kaweza kusukia kwa sh.50000 kwa nini ashindwe kuosha kwa sh.5000?
Wale wasuka rasta na kusukia yale manywele ya hovyo. Inaboa kinoma
Tabia ni kama ngozi..kuibadilisha labda kwa mchina!!!Msilalamike ndio mjitahidi kuwahimiza waende saloon kila weekend,na kama hana kipato MF mwanafunzi,housewives mjiongeze kuwahudumia.
Ni tabia ya uchafu mliyonayo dada /wake zetu. Kama mtu kaweza kusukia kwa sh.50000 kwa nini ashindwe kuosha kwa sh.5000?
Wigi ikinyeshewa mvua ehehehehe inakuwa balaa
Huwa nikipishana na baadhi ya wanawake nywele zao hutoa harufu kali.
Hujiuliza, kitandani mnalalaje na waume zenu?
Hii haichangii mwanaume kuchepuka kweli?
Asili ya mwanamke ni usafi kwa kuwa ni pambo na ni ua linalo vutia...ndio maana mwanamke anapokuwa mchafu anakuwa kero.....hali kadhalika mwanaume akiwa hakuna anayeshangaa kwa kuwa Asili yake ni kutafuta..