MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
mimi binafsi nywele zangu hunikera nishasema nazifuga tu kwa ajili ya harusi BAADA YA HARUSI NANYOA
hahahaaaaa ukihitaji ma maids nitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi binafsi nywele zangu hunikera nishasema nazifuga tu kwa ajili ya harusi BAADA YA HARUSI NANYOA
#TeamVipara hoyeeee.... Wapi my twin Khantwe???
Za asili hazina shida. Ni yale ya bandia!
hahahaaaaa ukihitaji ma maids nitafute
ila kutokuosha kichwa wiki lote hata haiwashi?
Teh teh teh...wanaume wengi hawaelewi logic ya kuoga bila kuweka maji kichwani...
Sometimes huwa naamua kuwa na nywele fupi; basi mume wangu anafurahi na anajitolea kuwa kinyozi wangu (and he is the best ever)
Ila napenda urembo..nikifuga nywele najitahidi nisimkwaze...naosha mara kwa mara si daily though...
ila heri umvutie mmeo,fanya au ufanye yale mmeo anaridhika,kuliko kuliko kumlletea utataTeh teh teh...wanaume wengi hawaelewi logic ya kuoga bila kuweka maji kichwani...
Sometimes huwa naamua kuwa na nywele fupi; basi mume wangu anafurahi na anajitolea kuwa kinyozi wangu (and he is the best ever)
Ila napenda urembo..nikifuga nywele najitahidi nisimkwaze...naosha mara kwa mara si daily though...
Kunuka aina cha asili wala bandia ni uchafu tu...
Nywele asili pia zinawekwa mafuta na joto la Dar kwa nini zisinuke...
Kinachonuka ni jasho linalochanganyika na mafuta...hakuna cha uasili wala fake hapo...dawa ni usafi...
Kuwa na short air ni better kwani waweza kuosha daily...
Ukishindwa (maana urembo muhimu) basi nenda salon mara mbili kwa wiki...
Teh teh teh...wanaume wengi hawaelewi logic ya kuoga bila kuweka maji kichwani...
Sometimes huwa naamua kuwa na nywele fupi; basi mume wangu anafurahi na anajitolea kuwa kinyozi wangu (and he is the best ever)
Ila napenda urembo..nikifuga nywele najitahidi nisimkwaze...naosha mara kwa mara si daily though...
Duh comment kama hizi ni chache sana humu!mabachela(Girls) mwaka huu wao!kwi! Kwi! Kwi!
haya mankaaa(in kichaga voice)
Umegeneralize mbona...wengine tunaosha kila wiki...mtoe hela mabeby wenu washonee weaving orijino ili waweze kuosha
ina harufu mbaya hata kibudu kinasubiri.....
Huwa nikipishana na baadhi ya wanawake nywele zao hutoa harufu kali.
Hujiuliza, kitandani mnalalaje na waume zenu?
Hii haichangii mwanaume kuchepuka kweli?