Nywele za huyu mwanamke zinatoa harufu mbaya

Nywele za huyu mwanamke zinatoa harufu mbaya

Fanyen utafiti huu wanawake walio wengi wakiwa ndan ya magari au wakiwa nyumban au wakiwa wanatembea utawaona kila mara wakikuna nywele au kuzigusa gusa kama vile anazitengeneza lakin sivyo n kwamba ZINAWASHA MBAYA NDO MAANA MKONO HAUTOKI KICHWANI...WANAWAKE KUWEN WASAFI KILA SEHEMU
 
kwanza miwigi inaharibu uzuri wa mtu milele kichani kwangu sitolisuka

Mhhh wewe ni mzuri bila wigi?Naweza kukuona facebook tubadilishane mawazo kidogo na ijidhihirishe haya unayo yasema?

Nipo Ubungo Kibangu
 
Inatokea mpo ktk basi yupo siti ya mbele yako,lecture room pia,au mmesimama ndani ya daladala kitu kinatoa kichiziiii.
Mi nadhani wengine wanajua ila ndo hawana jinsi.either financialy e.t.c
I once told my Mum,''Mum with all due respect your hair stinks like hell''
 
...Ooooh Lord....!
 
umenikumbusha kipindi nipo chuo kuna mdada wegi anavaa miezi 2 halufu ya hapo da akiingia darasani halufu dah!
 
One of all time turn offs...wig unpleasant odour...
 
Akinyeshewa mvua zinatema balaa bora harufu ya choo cha stand.
 
Duuh kwa wenye tatizo la harufu..karibuni Oriflame....kujipenda nako ni wito mwee
 
wanawake wanaosuka huwa wanaosha mwili tu nywele zinaachwa hata zaidi ya wiki mbili,ni noma

Kuna wanaosweat sana kwa kichwa..hao ndo harufu hutoka coz zinavunda...lakin wengine ngozi ni dry hata akikaa wiki mbil hakuna shida
 
Wale wasuka rasta na kusukia yale manywele ya hovyo. Inaboa kinoma

Umegeneralize mbona...wengine tunaosha kila wiki...mtoe hela mabeby wenu washonee weaving orijino ili waweze kuosha
 
Kuna wanaosweat sana kwa kichwa..hao ndo harufu hutoka coz zinavunda...lakin wengine ngozi ni dry hata akikaa wiki mbil hakuna shida
ila kutokuosha kichwa wiki lote hata haiwashi?
 
mimi binafsi nywele zangu hunikera nishasema nazifuga tu kwa ajili ya harusi BAADA YA HARUSI NANYOA
 
...Ooooh Lord....!
mkuu,i did tell her ila not that harsh,i used a politely manner,like "mama umemuona mama mchungaji ameweka mtindo mzuri wa nywele,ebu shika hii 50k ukaweke na wewe upendeze"
:cool2: :cool2:
 
mkuu,i did tell her ila not that harsh,i used a politely manner,like "mama umemuona mama mchungaji ameweka mtindo mzuri wa nywele,ebu shika hii 50k ukaweke na wewe upendeze":cool2: :cool2:
Ooh..at least that sounds better...
 
Back
Top Bottom