jijini leo
Member
- Jul 20, 2014
- 62
- 9
kwanza miwigi inaharibu uzuri wa mtu milele kichani kwangu sitolisuka
...Ooooh Lord....!Inatokea mpo ktk basi yupo siti ya mbele yako,lecture room pia,au mmesimama ndani ya daladala kitu kinatoa kichiziiii.
Mi nadhani wengine wanajua ila ndo hawana jinsi.either financialy e.t.c
I once told my Mum,''Mum with all due respect your hair stinks like hell''
wanawake wanaosuka huwa wanaosha mwili tu nywele zinaachwa hata zaidi ya wiki mbili,ni noma
Wale wasuka rasta na kusukia yale manywele ya hovyo. Inaboa kinoma
Zako hazinuki somo...nazijuaa...
Kuna watu inaweza kukata miezi miwili nywele hazijui maji....!
Mhhh wewe ni mzuri bila wigi?Naweza kukuona facebook tubadilishane mawazo kidogo na ijidhihirishe haya unayo yasema?
Nipo Ubungo Kibangu
ila kutokuosha kichwa wiki lote hata haiwashi?Kuna wanaosweat sana kwa kichwa..hao ndo harufu hutoka coz zinavunda...lakin wengine ngozi ni dry hata akikaa wiki mbil hakuna shida
ila kutokuosha kichwa wiki lote hata haiwashi?
ina harufu mbaya hata kibudu kinasubiri.....
mkuu,i did tell her ila not that harsh,i used a politely manner,like "mama umemuona mama mchungaji ameweka mtindo mzuri wa nywele,ebu shika hii 50k ukaweke na wewe upendeze"...Ooooh Lord....!
Ooh..at least that sounds better...mkuu,i did tell her ila not that harsh,i used a politely manner,like "mama umemuona mama mchungaji ameweka mtindo mzuri wa nywele,ebu shika hii 50k ukaweke na wewe upendeze":cool2: :cool2:
Za asili hazina shida. Ni yale ya bandia!